Siku ya wanawake duniani

Siku ya wanawake duniani

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Hakuna kiumbe chochote chini ya jua ambaye hana mama,hakuna binadamu yeyote ambaye hajui umuhimu wa mama,hakuna asiyejua uthamani wa mama ktk malezi na kukufanya uwe ulivyo ,kesho tarehe 7-march 2011 ni siku ya wanawake duniani ,jiulize utamfanyia nini mama yako kumuenzi na kumthibitishia kuwa she is everything in your life....wanamember hebu tushirikishane vya kuwafanyia mama zetu ili wajifeel proud of having us.
 
There are no words and deeds enough to express on this.There is no price tag suitable to be put on generosity of our mothers, only thank you is expressible!
 
Hakuna kama Mama!! I really miss my Mom!
 
Back
Top Bottom