Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 189
Japokuwa siku hii i.e tarehe moja April, ndo inaishia ishia nilifikiria itakuwa si vibaya tukijadiliana hapa ili kupanua uelewa wa siku hii ambayo inakuwa maarufu siku hadi siku, mwaka hadi mwaka sasa.
Mimi binafsi sielewi background ya siku ya wajinga (fools day) ni nini, sijawahi kusoma au kuelimishwa mahali popote pale kwamba siku hii ilitokea mahali fulani au chanzo chake labda ni tukio fulani lililotokea miaka ya huko nyuma zaidi tu ya ikifika tarehe 1/4 kila mwaka husikia watu wakiita siku ya wajinga na hutumia siku hii kutoa au kupeana taarifa za uongo na uzushi bila watoaji habari kuchukuliwa hatua zozote zile ikiwa ni pamoja na kupelekwa kwenye vyombo vya kisheria, kuadhibiwa (say na wazazi kama umewadanganya siku kama ya leo au boss wako ofisini etc) au rafiki yako kukuchukia baada ya kumpa habari za uwongo zaidi ya kubakia anacheka tu na kuifurahia siku hii!
Lakini hata nahivyo kwa uzoefu wangu, siku hii huwa naona ina masherti fulanifulani kama yafuatayo;
1. Sikukuuu hii hudumu kwa masaa kadhaa, nafikiri kati ya saa sita usiku hadi saa nne asubuhi....kwa maana kwamba haitakiwi isherehekewe siku nzima (i.e 24 hours)
2. Mtu anayesherekea siku hii kwa kutoa uwongo au taarifa yenye mkanganyiko inatakiwa atoe kitu kama disclamer au angalisho fulani kwa wapokeaji wa taarifa hiyo ili wale ambao huwa wamejisahau wasije tumia taarifa hiyo vibaya na kusababisha madhara makubwa.
3. Siku hii huendana na kutolewa habari nyingi sana za uongo au za kutisha au kufurahisha sana na hupelekewa mtu yeyote yule bila woga wala kufuata taratibu fulanifulani /protocol etc
Hii ni kufuatana na uzoefu wangu kama nilivyosema pale mwanzo,sasa naomba hapa tuwekane sawa kwa yeyote ambaye anajua yafuatayo kuhusu siku hii ya wajinga;
1. Fools day ilianza mwaka gani?
2. Fools day chanzo chake nini na nani mwanzilishi?
3. Na kwa nini inasherehekewa tarehe 1 April kila mwaka?
4. Je, fools day inatambulika kimataifa au ni Tanzania tu? Na kama inatambulika je, kunadocumentations zozote au signed agreements au conversations au tamko lolote la kuitambua siku hii?
5. Sheria zetu zinaitambua siku ya wajinga?
6. Nini masherti rasmi ya siku hii (i.e dos and don'ts)?
Sababu mojawapo iliyonifanya niweke huu mjadala hapa ni kuona baadhi ya members hapa pia wanaitumia siku hii vibaya na kuona wengine pia wanamind kuona baadhi ya taarifa wanazopewa leo hazina ukweli na wengine they just conclude Leo ni siku ya wajinga kwa kila habari inayowakanganya leo!
So tukipata undani wa siku hii, hope itatusaidia sana kuilewa vizuri siku hii leo na miaka ijayo!