Tehe, tehe!Ha ha ha ha kama ukiona elimu ni mali basi jaribu ujinga,if you find education is expensive try ignorance! Aanza na kilaza Namba moja Jah car hire
Vilaza wenzangu duniani tutumie siku hii kujiendeleza. Na kujisomea. Ila kumbuka kusoma ni kuelewa kukesha ni Mbwembwe. All the best form two student in your exams.
Vilaza wenzangu duniani tutumie siku hii kujiendeleza. Na kujisomea. Ila kumbuka kusoma ni kuelewa kukesha ni Mbwembwe. All the best form two student in your exams.
akaunti yako nyingine si ndo unajiita...................t..............kmbona tuko humu ndani muda mrefu, labda wewe ndo mgeni