Siku ya V ilivyotia fora....

Hahahah kudadadeaki. Hii thread sijui ilinipitaje. Walah we kabanga hazikutoshi lol
 
Last edited by a moderator:
kabanga katika wartu ambao hutakiwi kuwaamini Excel ni mmoja wao..ni bazaz huyo acha tu.
ngoja nirudi parokiani..nina majukumu huko
eh... kweli nilikuwa sijui kumbe Excel nae ni memba wa team bazazi....!?
 
Last edited by a moderator:
eh... kweli nilikuwa sijui kumbe Excel nae ni memba wa team bazazi....!?

naomba tafadhali nipatiwe list ya vibinti na wanawake wa watu ama wasio wa watu niliowahi kuwa-bazazi humu!

this at-list will go romantic...

otherwise, mimi si bazazi jamani! hata Mtambuzi anajua hilo!
 
Last edited by a moderator:
naomba tafadhali nipatiwe list ya vibinti na wanawake wa watu ama wasio wa watu niliowahi kuwa-bazazi humu!

this at-list will go romantic...

otherwise, mimi si bazazi jamani! hata Mtambuzi anajua hilo!
hebu waite team bazazis wakusaidie......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…