Siku ya V ilivyotia fora....

usilolijua ni sawa na usiku wa kiza best
nilichokiandika ni sahihi kabisa best
wala sijahukumu mtu yeyote wewe huwezi jua

limpatalo mtu hulijua yeye mwenyewe na simwingine
Hapana hapo unakosea, usitoe hukumu hujui nini kimemtokea dada. Sisi ndio viumbe bora zaidi kwenu
 
usilolijua ni sawa na usiku wa kiza best
nilichokiandika ni sahihi kabisa best
wala sijahukumu mtu yeyote wewe huwezi jua

limpatalo mtu hulijua yeye mwenyewe na simwingine

Nimesoma kitu hapa. I wish I could help you something
 
sasa ww kabanga ndio nini kuanikana hapa. si tulikukataza usitupige picha ww? mwenzio sikuaga kwa hazibandi Kaizer sasa akiona hapa si utaleta mgogoro kwenye ndoa yangu? akiniacha je utaniwowa ww?
 
Last edited by a moderator:
hii ni tuhuma kabisa...mie nilijilaza mchangani si kifuani kwako..hapa paroko wangu mpendwa asipaone kabisa
mwallu anasemaje mkuu?

si ndo huyu huyu aliyekuja kunilalia baada ya mahangover?
 
Last edited by a moderator:
hii ni tuhuma kabisa...mie nilijilaza mchangani si kifuani kwako..hapa paroko wangu mpendwa asipaone kabisa

ahaaa!!

kwa hio mimi nimekuwa mchanga eenh! iam no longer Excel eenh?

mwallu mbona umekuwa mbishi sana siku hizi?:argue:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…