Mkaguzi mkuu Asprin alitia fora siku ya Valentine baada ya kufanya ukaguzi kwa ujumla wa wanandoa na wasiokuwa wanandoa katika bwawa lake kubwa la kuogelea. ona mwenyewe.....
hawa ni baadhi yawaliokuwapo: Excel, Chocs, ladyfurahia, Mr Rocky, Lady doctor na Arusha one, @ Baba V, Zinduna nae alikuja kutoka unguja, Fixed Point, mwallu, DEMBA, Tyta, watu8 kiwatengu na shansarie, Erickb52 Nivea hata utafiti alikuwapo pia....
mkuu sio vizuri bana kuwekana humu!
ila niliwabambia wengi! umamuona huyo mkono wa kushoto mwenye kiremba cheupe?
basi nilishinda hapo na joto loote kwishnei!
hata Dinazarde, charminglady, Evelyn Salt, tian, lusungo, LILENDI, uran na wengine weengi walikuwepo!
nilivizidi kete vijamaa vingi mno! nilibambia effectively!
Hahahaha.....
Excel naona una utilise opportunity at hand to the maximum,hutaki mchezo kabisa ukingizatia siku yenyewe ni once in a year,
Kweli wewe unatakiwa kuwekwa kundi moja na mabazazi wenzio.
hmm mi sio bazazi bana!! hata Mtambuzi anajua hilo!
napenda sawa na sina mzaha when it comes to effective utilization..!
hivi leo tarehe ngapi mwanawane?
wewe kiboko, ukiendelea hivyo katibu wa mabazazi bwana Mtambuzi atakusajili katika dirisha dogo.....mkuu sio vizuri bana kuwekana humu!
ila niliwabambia wengi! umamuona huyo mkono wa kushoto mwenye kiremba cheupe?
basi nilishinda hapo na joto loote kwishnei!
hata Dinazarde, charminglady, Evelyn Salt, tian, lusungo, LILENDI, uran na wengine weengi walikuwepo!
nilivizidi kete vijamaa vingi mno! nilibambia effectively!
Mmmmhh...
Wewe tarehe za nini tena mkuu??
Au ndo ushaharibu,
Embu cheki kwenye calender,manake hapa ninayo ya mwaka jana
nakwambia kuwa na wengi shida!
nimechanganya reminders mkuu!
si ntapigwa leo?
Mkaguzi mkuu Asprin alitia fora siku ya Valentine baada ya kufanya ukaguzi kwa ujumla wa wanandoa na wasiokuwa wanandoa katika bwawa lake kubwa la kuogelea. ona mwenyewe.....
hawa ni baadhi yawaliokuwapo: Excel, Chocs, ladyfurahia, Mr Rocky, Lady doctor na Arusha one, @ Baba V, Zinduna nae alikuja kutoka unguja, Fixed Point, mwallu, DEMBA, Tyta, watu8 kiwatengu na shansarie, Erickb52 Nivea hata utafiti alikuwapo pia....
kwani Mr Rocky ukiwa katibu wa bazazis nawe si ndio walewale tu.....au unaona aibu leo tumewamwaga hapa?kabanga mimi nilikuwa nawaangalia #teambazazi akina Excel, Rogie. mayenga, kipajihalisi, Mentor, Asprin, Nicas Mtei , Kaizer, KakaKiiza, Erickb52 wakifanya mambo yao si unajua mi katibu nachukua minutes tuu siruhusiwi kushiriki kwenye matukio bana