Akasombe hata ya mitaroni mkuu..???Fursa, fursa, fursa, kama mkokoteni kayasombe piga shekeli,
Kumbuka utayachota kwa 250 kwa kila dumu kwa sasa, ukiuza buku faida mia saba na hamsini, kama unadumu sita tayari kwa trip moja una 4500,ukienda trip 20*4500=90,000.acha kushangaa hyo ni elfu tisini kwa siku.
Yaa mbona ni easily tu mkuu, kumbuka ukishaleta trip moja, orders za akina mama kidawa ndio zinaanza, mara huku niletee dumu mbili kaka, mama asha nae hku chukua kabisa hela yko nataka dum tatu, so kwa mwendo huo trip 20 ni fasta tuTrip 20??
Duh![emoji28]
Mkuu yapo kwenye visima, bei 250 kwa dumu mojaAkasombe hata ya mitaroni mkuu..???
Yaa mbona ni easily tu mkuu, kumbuka ukishaleta trip moja, orders za akina mama kidawa ndio zinaanza, mara huku niletee dumu mbili kaka, mama asha nae hku chukua kabisa hela yko nataka dum tatu, so kwa mwendo huo trip 20 ni fasta tu
Sure bt namaanisha ukienda then ukirudi hyo ni trp moja, that is what i mean, sijui nimepatia!!!! Maana hii elimu yangu ya darasa la saba inafanya hii lugha inichukie.Ni kweli mkuu ila ni ngumu sana labda ingekuwa kwa gari ila sio mkokoteni
Hizo trip 20 go and return ni mara 40 ujue
Ni kweli mkuu ila ni ngumu sana labda ingekuwa kwa gari ila sio mkokoteni
Hizo trip 20 go and return ni mara 40 ujue
Sure bt namaanisha ukienda then ukirudi hyo ni trp moja, that is what i mean, sijui nimepatia!!!! Maana hii elimu yangu ya darasa la saba inafanya hii lugha inichukie.
Mmmh mie nimeona ngumu etiMbona simple tu eeeeeh!! mbona simple tu jamaniiiii!!!!!
Mmmh mie nimeona ngumu eti
Wakuu Kwema!!? pamoja na Tangazo linalosambaa la DAWASCO kuwa kulikuwa na itilaf kwenye mitambo ya maji huko RUVU, Sasa hii ni Tanzania pekee wananchi wamekosa huduma ya maji kwa siku nne mfululizo, huku mtaani wamama wanahaha kwelikweli, wengine wamelazimika kuuziwa maji yasiyo salama ya visima, ila Watendaji wakuu wa DAWASCo wapo tu kwenye nafsi zao mpaka Sasa, Waziri yupo tu,Naibu wake nk.Hii ni Tanzania pekee,naamini ingekuwa kwingine wangesha jitumbua wenyewe.Kama Kiongozi unachukua karibu wiki nzima kutatua Changamoto ili wananchi wapate maji haraka kwa kuwa ni hitaji la muhimu.