Siku ya ndoa.

Siku ya ndoa.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Nimewaza sana jambo hili kama litawezekana hapa JF. Binadamu husemekana ana sherehe tatu 1. kuzaliwa, 2. kuoa/kuolewa na 3. kufariki au kifo sasa mitandao mingi huuliza siku ya kuzaliwa tu na kuwakumbusha wanachama wake tarehe ya siku hiyo ifikapo kwa kupongezana lakini siku ya kuoa/kuolewa hakuna. Nauomba uongozi wa JF kama inawezekana waanzishe 'marital status' si ya kuuliza kuoa/kuolewa tu bali tarehe ya siku hiyo na pawe na 'happy marriage' kwa wana JF, (notification).
Hili ni wazo tuu kama zuri lichukuliwe la kama baya niachieni.
Nawapongeza wanandoa wote humu JF.
 
Kwani kuna mahali pa siku za kuzaliwa humu hata ufike mbali kufiria hilo la ndoa???
We kama unataka mke au mume nenda kule Love Connect.
 
nakusapoti mwaya coz ni ubunifu, wengine wabaki na birthday reminder tu, jf marriage day hahahahha
 
Wazo jema,,maana happy deathday unakuwa huijui unakuwa kwenye usingizi wa milele.
 
Wazo jema,,maana happy deathday unakuwa huijui unakuwa kwenye usingizi wa milele.
Sawa ndugu kwani katika sherehe hizo TATU ni moja tu ndio unaiona nayo ni ya NDOA hivo kuikumbuka ni jambo muhimu. Si kila kitu lazima kianzishwe na mzungu na sisi tufuate humohumo!
 
Kwani kuna mahali pa siku za kuzaliwa humu hata ufike mbali kufiria hilo la ndoa???
We kama unataka mke au mume nenda kule Love Connect.
Wazungu wakianzisha UTAFURAHI??????????????????
 
Back
Top Bottom