Arafat Bahdellah
Member
- Jan 15, 2013
- 77
- 28
Vitabu tofauti vya kiimani vimezungumzia ujio wa mpinga kristo/ the false Masayah /Masihi Dajjar
Wasomi wa mambo ya Imani wamekuwa na miono/tafsiri tofauti kuhusu kuja kwake, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu juu ya alama kubwa zinazo ashiria mwisho wa dunia/Qiyamah haswa dalili kubwa kumi kwa mujibu wa mafunzo ya dini.
Kwa mujibu wa mafundisho ya dini kubwa moja wapo duniani; dalili kubwa kumi za kuashiria kukaribia siku ya mwisho ni hizi zifuatazo,
Kuja kwa Dajjar/The Ant Christ,
Kufunguliwa Gog & Magog/Yaajuja na Maajuja,
Moshi mkubwa kutanda angani,
Kuja kwa mnyama atakaekuwa akiwasiliana na watu,
Juwa kuchomoza Magharibi na Kuzama mashariki,
Tetemeko kubwa litakalopelekea kuzama kwa ardhi upande wa MASHARIKI ya dunia,
Tetemeko kubwa litakalopelekea kuzama kwa ardhi upande wa MAGHARIBI ya dunia,
Tetemeko kubwa litakalopelekea kuzama kwa ardhi upande wa MASHARIKI YA KATI ya dunia,
Moto mkubwa kuwaka Yemen,
Kurudi kwa Yesu/ Issa Bin Maryam.
Source; Ten Major Signs of the Last Day - Has One Just Occurred
Part nyingine zitakuwa zikiendelea...mungu akipenda.