siku ya mashujaa mbona simuoni Maalim Seif?

CHIEF MVUNGI

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
99
Reaction score
15
Leo naona viongozi wengi wapo front line mnazi mmoja lakini simuoni makamu wa kwanza wa rais kutoka serikali ya mseto Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad au yeye hausiki kwenye mambo haya ya magamba?
 
" kwa siku hizi za karibuni sio kwenye siku ya mashujaa tu, bali hajaonekana sehemu nyingi kwenye matukio ya maana kuliko hilo la mashujaa (sijui mashujaa gani). Ni kwamba hayupo kabisa hapa Nchini Zanzibar"

Leo naona viongozi wengi wapo front line mnazi mmoja lakini simuoni makamu wa kwanza wa rais kutoka serikali ya mseto Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad au yeye hausiki kwenye mambo haya ya magamba?
Amekwisha situkiwa uamsho huyo
 
Back
Top Bottom