Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

Pamoja na sifa hizo lakini kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya kwa Mashoto wana weakness zifuatazo:
1.Wanahasira za karibu sana..kununa,Nongwa na kususa kwetu ni kawaida...Ila ni wepesi kusamehe na maisha yakaendelea..

2.Ujanja ujanja mwingiiii,ikiwemo STEALING

3.wengi wao ni waongo(Hasa katika story za kawaida)

4.Hawaogopi kusema ukweli pale wanapoona haki,wajibu,na taratibu zinakiukwa..Ukweli wao huu unawapelekea kuchukiwa na kudhurika pia wakati mwingine...

Mashoto wenzangu samahanini
Namba 3 ni kweli, mpaka mama ananiambiaga E una vistory vya uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom