Ndg wanaJf hasa wapenzi na mashabiki wa CHADEMA,kesho 13/05/13 ni siku ya aina yake ambapo kesi inayogusa hisia za wengi;ya Lwakatare itasikilizwa.Sintofahamu iliyopo ni kama mahakama ya Hakima mkazi Kisutu kupitia hakimu msomi Aloyce Katemana ataridhia kumpa dhamana kufuatia mahakama kuu kumfutia mashtaka ya kigaidi.Pia,kama mwendesha mashitaka wa serikali hatafunga dhamana yake kama ilivyotoke kwa sheih Ponda.
Katika hatua nyingine, kesho hiyo hiyo na katika mahakama hiyo hiyo kutakuwa na kesi ya kamanda Mbusule Christopher-Mwenyekiti BAVICHA jimbø la Ubungo na wenzake inayohusu maandamanö ya UDSM kudai mikopo kwa mwaka wa kwanza, inasikilizwa na Mhe.Mchauro na Kesi ya General Kaduma-KTB mstaafu wa CHAso kanda maalumu ya Dsm ambayo ipo kwa Mhe.Fimbo
N.B:KESI ZOTE HIZI ZINATETEWA NA WAKILI MSOMI PROF.SAFARI