Siku Ya Leo Sijui Nimeamkaje.

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Kwa kawaida siku zote huwa nikiamka nakuwa kawaida na serious .Lakini hii ni mara ya kwanza na nahisi itakuwa ya mwisho kutokea kuamka vizuri namna hii .Namna jinsi nilivyo amka leo nimeamka nafuraha na uchangamfu mkubwa mno lakini nikijaribu kuangalia kitu gani kimesababisha nimeamka vizuri namna hii ,ili niweze kuhakikisha kwamba siku zote zinazofuata niwe na amka namna hii SIZIONI sababu najikuta tu nimeamka na furaha .Sijui kitu gani kitatokea siku ya leo.Kwa mnaofahamu ikitokea hali hii inaashiria nini? .Je kuna mtu alishawahi kuamka akiwa na hali hii au ni mimi.tu?.
 
Fuatilia mawazo yako toka jana na ndoto zako za leo usiku zitakuonesha hapa ulipo (asubuhi) umefikaje!
 
Mbona mnamwandama mwenyekt wa watoto ivo, watoto wenzie watatia dimba hapa.

kumbe unamfahamu na huyu?
janeth1 kwahiyo unafahamu kaamukeje?
embu rudi kule tuende kwa dada
 
Last edited by a moderator:
kumbe unamfahamu na huyu?
janeth1 kwahiyo unafahamu kaamukeje?
embu rudi kule tuende kwa dada

ha haa... Jaman simfaham mie nimemskia hapo chn ajiita chair wa watoto. Haya narud.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…