msambinungwa
Member
- Jun 28, 2014
- 97
- 17
habarizenu wakuu,nimeckia mzikiwa akunaga nikakumbuka ckuyakwanza kwenda club,mh!alikua amekuja sumalee.dah! yalemataa yalinichanganya nikashtuka sa11 nikopale kati nacheza pekeyangu tena mzikiwabolingo,nilickia aibusana nikajiona bongelamshamba.vp ww kwakoilikuaje? karibu.