mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Mi pia kuna barua moja ya mapenzi nlimuandikia demu si nikasahau nikaiweka katikati ya daftar..tupo practical ya chemistry lab mshkaji kaomba daftar akaiona barua si akaanza kuizungusha...hahaaaMimi nilianza kwa kuandika barua kipindi nipo shule ya msingi minazi mirefu ila barua niliyomwandikia Rahma sikuwahi kumpa nilikuwa naogopa.Barua ilichanikia mfukoni,Sasa tulipokuwa sec yeye jangwani then mimi azania kidume nikamwaga sera mtoto akaingia kingi.Ila nilipata shida mno na shida yenyewe ni kusema tu neno nakupenda,kidume nilijikaza nikasema ila kwa tabu sana
Neno nakupenda huwa ni zito sana kulitamka kama unalimaanisha toka moyoninilikua nachapi chapia ile mbaya, alaf demu mwenyewe akajua naogopa wacha anichemshe, ila alilikubali aiseee
Italetwa na walio ahidi......!Serikali ya viwanda ndo hii.
Hahahaa aibu vepeee!Mi pia kuna barua moja ya mapenzi nlimuandikia demu si nikasahau nikaiweka katikati ya daftar..tupo practical ya chemistry lab mshkaji kaomba daftar akaiona barua si akaanza kuizungusha...hahaaa
Hadi Leo?Mimi kwa kweli nilipigwagwa sound na demu mmoja high school dahhh aliponitonya ananipenda ndio ikawa mwwisho wa mazoea but namkumbuka mpaka leo nadhani anafaa kuwa mke kabisaaa maana nilikuaga domo cement na mchanga kasoro maji
samahani kama niko nje ya mada
serikali ya viwanda ya juma pumba maharagweSerikali ya viwanda ndo hii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana mkuu, ingawa ni mda mrefumsela wangu wa kitaa ndio alinipa mistari ya kuongea,siku ya siku school nikamwona mrembo nikamwambia nina maongezi naye baadae, kweli mida ya kutoka class tukakutana nikamnunulia vimto, nikampa live nampenda,dooh akasema ooh mi nakuchukulia wewe kama kaka yangu,ubaya msela wangu wa kitaa hakunipanga in case nikiambiwa hivo, basi nikakata network sina la kusema natetemeka tu ingawa yule mrembo alikuwa amenipenda, nikasema sawa nimeelewa, nikaanzisha stori za anodi shoziniga na jeni nikasepa. Ila after miezi kadhaa nikampata baada ya jitihada mpya na altenatives.
Mimi sijawahi kutongoza.Nikiona mitongozo ya siku hizi ilivyo rahisi naumia sana..!nakumbuka mi ilinichukua mwezi mzima just kumwambia demu nakupenda, ilikuwa kila nikimpanga basi tukifika eneo la mtongozo neno nakupenda linaishia kooni tu nashindwa kulitamka..siku nliyolitamka nlihisi nmetua mzigo mkubwa sana...vp ww ilikuaje siku ya kwanza kutongoza???