Siku ya kwanza kuondoka kijijini na kuelekea mjini

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
678
Hii ilikuwa siku mhimu sana kwangu na ilichangiwa na jitihada zangu binafsi kufanya vyema shule ya msingi, kama mnavyojua zamani kidogo miaka zaidi ya kumi iliyopita kupass mitihani ya darasa la saba ili kuwa shida kidogo, nashukru Mungu nilipass na matokeo ya ufaulu huo niliyapata baada ya miezi kama miwili toka yatangazwe na wizara ya elimu! yalikuwa yanakuja toka taifa to mkoani to wilayani to kata then to shule.. ilikuwa ngumu kidogo kuyapata! binafsi niliyapata muda umenda na hasa baada ya kuletwa na mwl mkuu toka wilayani.. ningeweza kwenda kuyaona mkoani au wilayani lakini nauli ya kwenda huko ilikuwa taabu kidogo! kipindi kile kupass ilikuwa raha sana yaani kijiji kizima wanakujua na wanakuja kukutizama kwenu! kati ya kata nzima achilia shule unakuta umepass wew tu au watu wanne..shule nyingi zilipita matokeo NIL miaka nenda rudi.

Baada ya kupata matokeo hayo ilikuja issue ya maandalizi kwani nilichaguliwa kwenda sengerema sec.! swala la maandalizi likawa ni mtihani kwa wazazi wangu, yaani kuchaguliwa kwangu kukawa shida tena katika familia..nilianza kulima vibarua mashambani kwa watu tukiwa na mama yangu nakumbuka join instruction ilitaka ADA ya tsh 20, 000 pamoja namatumizi mengine na pesa na nauli nilihitaji kama elfu 70..nililima mashamba ya watu mwezi mzima na kufanikiwa kupata kama elfu 15..! kuna baba yangu mmoja alikuwa akifanya kazi SENAPA aliniita niende anipe elfu 5.. ntaendaje huko aliko nako ikawa mtihani ilibidi niende wilayani kutafuta usafiri wa bure ambako kuna magari ya SENAPA aliko baba yangu nilifanikiwa kuyapata magari hayo baada ya wiki 3 nakufika kwa baba mdogo! Mungu saidia marafiki zake baba mdogo wakachangia nikapata elfu 35 baada ya baba mdogo kuwaeleza hitaji langu. Huku nyumbani mama aliendelea kutafuta hela niliporudi nyumbani nilikuta mama ameuza mbuzi watatu, kidogo tukawa na hela ya kutosha.

Siku ya kwenda shule niliondoka peke yangu nikitegemea kupokelewa na shangazi yangu jijini Mwanza, hakika usiku wa safari sikulala niliamka saa tisa na kumwamsha mama ili nijiandae na bahati mbaya kulikuwa na basi moja tu ukilikosa huna safari kwa siku hiyo itakulazmu kusubri siku nyingine.. mama alinipikia uji huku akinipa mawaiidha mengi sana ya huko niendako na hasa alivyohangaika kupata hela ya mimi kwenda shule..ilipofika saa kumi na moja tulisikia muungurumo/sauti ya basi maana basi lile likiwa umbali wa km hata 4 utalisikia.. tulisongea kituo cha basi/stand na ndg zangu huku wakinistiza kusoma kwa bidii na kuacha mabaya yote na wakidai maisha yao ninayabeba mimi maana nimewaacha masikini wameuza mbuzi na kuhangaika sana kupata elfu 70 , baada ya basi kufika nilipanda basi hilo na ndiyo ilikawa siku yangu ya kwanza kupanda basi na kusafiri umbali mrefu pamoja na kuwa mbali na familia yangu kwa muda mrefu na ikawa pia siku ya kwanza kuelekea mjini kwa maana ya jiji la Mwanza..kwa kweli nilishangaa sana mazingira na maisha ya mjini! ndani ya basi nililia sana huku nikiwawaza ndg na hasa mama yangu, basi lilikimbia kweli kweli na baada ya masaa kumi na mbili nilifika Mwanza.

Nilipofika Mwanza ndipo nilijua duniani kuna watu hatari sana! niliibiwa pesa yangu yote bila kujua cha kufanya! kama ni kilio hiyo siku kilio kilikuwa kikubwa sana na nilijikuta niko polisi bila kujua! polisi walinisaidia na baadae kukutana na shangazi yangu alikuwa akinisubri tena kusubriana bila mawasilianiano ya simu..itaendelea baadae kujua ilikuwaje hapo mbeleni..

Naomba nawe utupe uzoefu wako hasa ulitokaje kijijini kuja mjini.
 
hadithi ya uwongo..
 
Pole kwa kuibiwa ila story nzuri. Sio peke yako uliesoma kwa shida, mwisho Wa siku unakuja ona matunda yake.zamani kijijini kwetu usafiri ulikuwa Wa shida, usafiri Wa kutoka kijijini kwenda mjini ilikuwa mara 2 au 3 kwa wiki.ila nikienda kijijini nilikuwa na enjoy mno.naonekana mtoto Wa mshua kumbe amna lolote.ila sasa kijijini kuna Kila kitu,umeme,maji,hoteli
 
Kuibiwa ilikuwa kama ndio kukaribishwa mjini enzi hizo,
Vijijini kulikuwa na wezi maarufu pia wanajulikana na jamii nzima na kuogopwa,
 
Hii ilikuwa siku mhimu sana kwangu na ilichangiwa na jitihada zangu binafsi kufanya vyema shule ya msingi, kama mnavyojua zamani kidogo miaka zaidi ya kumi iliyopita kupass mitihani ya darasa la saba ili kuwa shida kidogo, nashukru Mungu nilipass na matokeo ya ufaulu huo niliyapata baada ya miezi kama miwili toka yatangazwe na wizara ya elimu! yalikuwa yanakuja toka taifa to mkoani to wilayani to kata then to shule.. ilikuwa ngumu kidogo kuyapata! binafsi niliyapata muda umenda na hasa baada ya kuletwa na mwl mkuu toka wilayani.. ningeweza kwenda kuyaona mkoani au wilayani lakini nauli ya kwenda huko ilikuwa taabu kidogo! kipindi kile kupass ilikuwa raha sana yaani kijiji kizima wanakujua na wanakuja kukutizama kwenu! kati ya kata nzima achilia shule unakuta umepass wew tu au watu wanne..shule nyingi zilipita matokeo NIL miaka nenda rudi.

Baada ya kupata matokeo hayo ilikuja issue ya maandalizi kwani nilichaguliwa kwenda sengerema sec.! swala la maandalizi likawa ni mtihani kwa wazazi wangu, yaani kuchaguliwa kwangu kukawa shida tena katika familia..nilianza kulima vibarua mashambani kwa watu tukiwa na mama yangu nakumbuka join instruction ilitaka ADA ya tsh 20, 000 pamoja namatumizi mengine na pesa na nauli nilihitaji kama elfu 70..nililima mashamba ya watu mwezi mzima na kufanikiwa kupata kama elfu 15..! kuna baba yangu mmoja alikuwa akifanya kazi SENAPA aliniita niende anipe elfu 5.. ntaendaje huko aliko nako ikawa mtihani ilibidi niende wilayani kutafuta usafiri wa bure ambako kuna magari ya SENAPA aliko baba yangu nilifanikiwa kuyapata magari hayo baada ya wiki 3 nakufika kwa baba mdogo! Mungu saidia marafiki zake baba mdogo wakachangia nikapata elfu 35 baada ya baba mdogo kuwaeleza hitaji langu. Huku nyumbani mama aliendelea kutafuta hela niliporudi nyumbani nilikuta mama ameuza mbuzi watatu, kidogo tukawa na hela ya kutosha.

Siku ya kwenda shule niliondoka peke yangu nikitegemea kupokelewa na shangazi yangu jijini Mwanza, hakika usiku wa safari sikulala niliamka saa tisa na kumwamsha mama ili nijiandae na bahati mbaya kulikuwa na basi moja tu ukilikosa huna safari kwa siku hiyo itakulazmu kusubri siku nyingine.. mama alinipikia uji huku akinipa mawaiidha mengi sana ya huko niendako na hasa alivyohangaika kupata hela ya mimi kwenda shule..ilipofika saa kumi na moja tulisikia muungurumo/sauti ya basi maana basi lile likiwa umbali wa km hata 4 utalisikia.. tulisongea kituo cha basi/stand na ndg zangu huku wakinistiza kusoma kwa bidii na kuacha mabaya yote na wakidai maisha yao ninayabeba mimi maana nimewaacha masikini wameuza mbuzi na kuhangaika sana kupata elfu 70 , baada ya basi kufika nilipanda basi hilo na ndiyo ilikawa siku yangu ya kwanza kupanda basi na kusafiri umbali mrefu pamoja na kuwa mbali na familia yangu kwa muda mrefu na ikawa pia siku ya kwanza kuelekea mjini kwa maana ya jiji la Mwanza..kwa kweli nilishangaa sana mazingira na maisha ya mjini! ndani ya basi nililia sana huku nikiwawaza ndg na hasa mama yangu, basi lilikimbia kweli kweli na baada ya masaa kumi na mbili nilifika Mwanza.

Nilipofika Mwanza ndipo nilijua duniani kuna watu hatari sana! niliibiwa pesa yangu yote bila kujua cha kufanya! kama ni kilio hiyo siku kilio kilikuwa kikubwa sana na nilijikuta niko polisi bila kujua! polisi walinisaidia na baadae kukutana na shangazi yangu alikuwa akinisubri tena kusubriana bila mawasilianiano ya simu..itaendelea baadae kujua ilikuwaje hapo mbeleni..

Naomba nawe utupe uzoefu wako hasa ulitokaje kijijini kuja mjini.
Aisee, muendelezo please!
Ukiendelea naomba uni mention
 
Wizi ulianza zamani mshua alitusimulia walivyoibiwa mwaka 1975 yeye na mwenzake mjini Bunda wakiwa safarini wanakwenda chuoni Tabora.Pia zamani ulikuwa unakabidhiwa pesa unakwenda peke yako shule ili kuokoa gharama ya nauli ia sasa simu zipo ila mtoto anasindikizwa hadi shule
 
Da

Dah jamani yaani nemeipenda kabla hata haijaisha inatufundisha bidii ndio msingi wa maendeleo na tuwapende sana wazazi wetu kwani ndio only wanaotutakia mafaniakio. wengine jamani tunaokutana nao ukubwani kila mmoja anakuwa na interest Fulani lakini wazazi dah. Nawawependa sana baba na mama yangu asanteni sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom