randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 623
Hahaaaaa.......mkuu nimecheka sana,siku ya pili ulifanya je. ..dah kama nakuona uwanjaniSiku ya kwanza boarding niling'atwa sana na kunguni mpaka nikawa ninahisi watanitoa roho ikabidi niamke usiku nikakae uwanjani mpaka kukakucha
Hahaaaaa.......mkuu nimecheka sana,siku ya pili ulifanya je. ..dah kama nakuona uwanjani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Siku za kwanza kwanza chuoni nilikua napotea venue za kusomea kila siku duuuh nafika kuipata venue muda umeisha nakutana na lecturer anaaga jamoney jamoney nilikua narudi jioni nimechoka sanaaa na sijaingia kipindi hata kimoja wallah nilikua nalia kama mtoto usiku kitandani kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui
Umetishaaaa dah!!!Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui
Aisee.Wakuu...
Nakumbuka siku ya kwanza naanza form one sikulala na nilivaa nguo za shule usiku huo huo??
Siku ya kwanza advance nakumbuka nilitoka bwenini na kwenda darasani nikiwa na begi na madaftari 11 calculator bs,chand,nelkon vyote kwa siku ya kwanza kabisa??
Chuo sasa nakumbuka nilichukua ratiba ya semester nzima hivyo nikaanza kuingia kila kipindi hata nje ya course yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh usinikumbushe siku ya kwanza chuo nilivyokuwa nakodolea waeembo macho nipate apo changu kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ya kwanza boarding niling'atwa sana na kunguni mpaka nikawa ninahisi watanitoa roho ikabidi niamke usiku nikakae uwanjani mpaka kukakucha
Ha ha ha ,noma sana.Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui
ulikuwa huna rafiki au?Mimi nakumbuka siku ya kwanza chuo kwanza nilihenya kutafuta venue ninayotakiwa kuingia nikaipata nikakaa kama robo saa kipindi kikaisha lecturer akatuaga nikaona watu wanatoka na mimi nikatoka nikaenda kulala hostel ikawa siku ndio imetoka.....sasa nikawa kila siku naingia humohumo kwenye hiyo venue sasa nikawa nashangaa maana najikuta leo mara nimesoma economics mara kesho sheria mara siku inayofatia sociology mara procurement nikaendelea hivohivo.....yaani hadi kuja kujua kuwa vipindi vinakuwa katika venue tofauti ni karibia mwezi ushaisha kumbe mimi nilikuwa naingia na kozi zingine tofauti hata sijui