HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Umetisha mkuuSiku ya kwanza form1 nilidoji nikakutwa bwenini nikala stiki
Siku ya kwanza form5 nikienda class na nguo za home bila hata daftari nikisingizia hatujagawiwa uniform nikala stiki kama kawaida
Siku ya kwanza chuo nilidoji nilikua zangu hostel nakula upepo
Siku ya kwanza kazini sikwenda kureport nikisingizia sina nauli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1]Duh usinikumbushe siku ya kwanza chuo nilivyokuwa nakodolea waeembo macho nipate apo changu kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app
madrasaSiku ya kwanza Chuo nilidoji dah..kilichofuata baada ya kukamatwa nikapgwa sitiki za kufa mtu[emoji12]
Hicho chuo sio cha nchi hiiSiku ya kwanza Chuo nilidoji dah..kilichofuata baada ya kukamatwa nikapgwa sitiki za kufa mtu[emoji12]
Umenikumbushaa mbali sanaaSiku ya kwanza boarding niling'atwa sana na kunguni mpaka nikawa ninahisi watanitoa roho ikabidi niamke usiku nikakae uwanjani mpaka kukakucha
UDSM
boyfrnd wangu anasoma chuo kikuu cha mlimani city[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku ya kwanza Chuo nilidoji dah..kilichofuata baada ya kukamatwa nikapgwa sitiki za kufa mtu[emoji12]
Chuo gan wanapigwa stiki labda madrasa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Siku ya kwanza Chuo nilidoji dah..kilichofuata baada ya kukamatwa nikapgwa sitiki za kufa mtu[emoji12]
Uongo mtakatifu huu....kama ni madrasa sawa nakubaliSiku ya kwanza Chuo nilidoji dah..kilichofuata baada ya kukamatwa nikapgwa sitiki za kufa mtu[emoji12]