Siku ya kiama......................... ........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya kiama......................... ........

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by nelly nely, Mar 5, 2012.

 1. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Siku ya kiama ilifika,wote wakawa mbele za Mungu.Mwenyezi Mungu akasema,"fanyeni mistari miwili,wanawake kushoto,wanaume kulia",wakatii.Kisha akawaambia,"wanaume wote waliokuwa wakipelekeshwa na wake zao duniani,warudi upande wa wanawake",wote walirudi isipokuwa mmoja tu aliyebaki amesimama.Mwenyezi Mungu kwa furaha akaanza kuongea "tazama mwanangu aliyenipendeza na kuyashika mafundisho yangu..hata akamfanya mkewe awe chini yake daima..........haya hebu waeleze wenzio,uliwezaje kumdhibiti mkeo?".....jamaa akajibu"Mungu...me mwenyewe sielewi..wife kaniambia nisimame hapahapa!"
   
 2. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Khaa,huyo ndo kazidi ubushoke
   
 3. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kabakabana hulali?!!!
   
Loading...