Siku ya 5 hakuna Maji Dar, Serikali kimya...

Muulize huyu....Dar haina maji yeye yuko Iringa kwenye shareha za siku ya amaji duniani


usalama wa taifa hovyo kabisa....cheki huyo mlinzi alie karibu na jk......kushoto kwake......
 

Napenda kipindu pindu kilipuke Masaki, Mbezi beach, Oyster bay, Kunduchi, Ikulu ili hiki kizazi kinacho ishi maeneo hayo kipotee
 

Kwa hiyo unataka wote tuwe kama wewe kununua maji ya laki moja? Unalalamika halafu unaikubali hali unayo ilalamikia?
 

Kichwa "serikali kimya", utumbo "wananchi kimya". Tukueleweje?

Serikali jana ilileta mpaka ukarabati unaofanywa kwa picha, labda hutazami tv za Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…