Tunamkosea sana Mungu, lakini anatusamehe! Hebu fikiria, karibu kila weekend watu wanazini, karibu kila siku watu wanasema uongo, karibu kila baada ya miaka miwili wadada wanatoa mimba. Wote hawa, kwa namna moja au nyingine Mungu huwasamehe wanapotubu. Lakini binadamu hana msamaha kabisa. Hebu fikiria jamaa inawezekana ameiba nokia ya tochi tu (30,000/=), lakini amepewa the maximum sentence (death). Mnh, God forbid!)