Fredrick Jr
Member
- Jul 21, 2012
- 8
- 0
Habari wanaJF wote nafikikiri nyote ni wazima.Je siku ya 24 katika mzunguko wa mwanamke(menstrual cycle) kuna uwezekano wa kushika mimba? Naomba maoni yenu wanaJF. Ahsanteni!
Sawa sasa tuchukulie menstrual cycle ya siku 28 inakuwaje hapo? naomba unijulishe ni kwa jinsi gani? @cape