Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

hujui siasa za nchi yetu.... haziko rational and taking anything rational out of irrational society ni sawa na kutafuta vimini Jeddah
 

Baaaaaaaadaye sana mkuu, vijana wanajua kufikiri kuliko unavyowadhania, chama cha magamba hakiwezi kubadilika na kubadilika kwake ndo its demise so endelea kusubiri coz utasubiri sana.
 


ukioa mke unapanga na tarehe ya kuachana au basi huna commitment vijana wanajua wanachokifanya na sio bendera fuata upepo. halafu wenzako wana Mungu wa kweli wewe je?
 
Nadhani kila kitu kina mwisho wake, sasa cjui wewe unataka CDM wakiingia madarakani watawale milele au? Haiwezekani! kama ilivyo mwisho wa ccm na CDM itakua na mwisho. Labda ukiwa na akili za mwendawazimu ndo unaweza kufikiri kuna kitu kinatawala milele! Kwa hiyo tunachotaka ni mabadiliko, na muda pia ukifika na CDM watabadilishwa. Sasa kama binadamu anakufa kwanini CCM au CDM isife? kila kitu kina mwisho wake bana! kingine kitaongoza miaka 50, kingine miaka 5, kingine 10, na kingine miaka 0 na hivyo ndiyo itakavyokua. Sasa cjui tatizo ni nini!!
 
napiga mluzi tu wa ile tune maarufu ya ule wimbo wa ukombozi, Chadema Chadema, peoples power! Dah nayaona maisha ktk mwanga bora mnooo!

Hata kama CDM ingekuwa na nia nzuri (nakiri siioni) lakini kukiwa raia wenye mawazo kama haya, basi isingeweza kufanikisha malengo ya maendeleo!
Mungu wetu anaita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…