Hapo kwenye nyekundu WENGI NI WAFUATA MKUMBO, wakighafilika kutokana na madhila yaliyoletwa na ccm pasi kujua hata mwelekeo na katba ya chadema
Leroy na Kimbunga
siku za karibuni mbunge msigwa wa chadema alikuwa akitoa hotuba huko kwao, alizungumza sana umuhimu wa watu kufanya kazi na akawapa mbinu mbalimbali za wao kujikomboa
That was perfect example of a leader na sio kutoa matumaini kana kwamba chadema ikishika nchi, mabomba yatoa maziwa na that is a bomb!
Wakati huo watakuwa wameshazeeka na sio vijana tena, badala yake kizazi kingine na matatizo mengineMkuu leroy kuna hoja ya msingi hapa.
Vijana huwa wana mategemeo makubwa. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba vijana walikuwa wakishangilia sana wakati Rais JK anaingia madarakani. Walimpigia kura wakidhani sasa ni wakati wa vijana kutesa, waliona vijiwe sasa kwaheri wanaenda kupata wote kazi njema zinazolipa huko maofisini.
JK alianza kwa kutembelea wizara na kuna muda alikuwa anatembea toka wizara moja kwenda nyingine akiwa analakiwa kwa nderemo na vifijo vya vijana waliokuwa wakijipanga kumuona mkombozi wao. Baada ya kuona matokeo si sawa na matarajio yao basi wamejikita CDM wakitegemea hali bora toka huko.
Hakika CDM ina vijana kila kona na wote wanaitimbulia macho CDM iingie ikulu iwaokoe na hali duni. Hivyo CDM kama hawatafikia matarajio ya vijana basi vijana hao hao ndio watawageuka tena na kutafuta mbadala. CDM inabidi ijipange kutekeleza matarajio ya vijana
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.
Si mpaka waingie madarakani na kushindwa kutimiza matarajio yao? Kwa hiyo siku hiyo haiko karibu iko mbali na vijana hawawezi kugeuka na kuiamini CCM tena kabla ya CDM kuingia madarakani maana imekuwa na zaidi ya miaka 50Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.
Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.
Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.
....
Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.
Hapo kwenye red wapo kwenye kilele (peak) cha uwezo wao wa kufikiriNilishasema,CCM wakitaka huo umati unaoifuata CDM wafanye kitu kidogo na ambacho naamini ni rahisi kwao lakin sielewi kwa nini wanashindwa na kukipa chati cha cha CHADEMA.
1.Viongozi wafanye wawezavyo bei za vyakula ishuke kwa kasi chini mfano mchele kutoka 2,500/-hadi 1,500,suakri 2,000 hadi 1,000/-kibiriti kutoka sh 100 hadi 25,mafuta ya taa yawe rahisi kama mwanzo,umeme nao ushuke bei na uwe rahisi pai wanafunzi wote vyuoni wapewe mikopo bila kubagua.
Halafu kuwe na mkutano wa chadema uone kama chama hicho kitapata watu.
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.
Mkuu Waberoya ni viongozi wangapi wa CDM wamewaambia hivyo vijana?
Mimi binafsi sijasikia sera za CDM kuhusu vijana na hasa kuhusu suala la ukosefu wa ajira nchini. Jana tu nimesikia taarifa ya AfDB ikisema bara la Afrika ndilo linaongoza kwa kuwa na vijana wengi. Hvyo vijana ndio siasa na siasa ni vijana. Vijana hawaishangilii CDM kwa kuwa ni CDM bali wanawekeza huko wakitegemea ajira mara tu baada ya CDM kuapishwa kukamata dola. CDM wamejipangaje kwa hilo? Wana makakati gani juu ya hilo?
Je CDM wana mpango gani na wamachinga hawa ambao tunaona wanauza panga moja kutwa nzima pale Ubungo?
Hapo kwenye nyekundu WENGI NI WAFUATA MKUMBO, wakighafilika kutokana na madhila yaliyoletwa na ccm pasi kujua hata mwelekeo na katba ya chadema
Gwalihenzi baada ya miaka mitano unakuwa umezeeka? Miaka 20 baada ya miaka 5 unakuwa 25.Wakati huo watakuwa wameshazeeka na sio vijana tena, badala yake kizazi kingine na matatizo mengine
ndugu samahani umetumwa na nani kwafaida ya nani? jua humu jamvini wote ni wanja na wengi tunaelimu zetu zakututosha tu. tunauwezo wa kufanya uchambuzi yakinifu juu ya siasa na and the future of our beloved country Tz.
Tunajua ccm imechoka tena sana inatakiwa kukaa pembeni.
Take home message: usifikiri tunao i support CDM pamoja na M4C nivijana jekeyao, lahasha hata wazazi wa hao vijana na watoto wa hao vijana wapo pamoja na M4C.
Sijatabiri, this is my dream (ndoto).
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.
Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.
Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.
Kwani vijana wote wanaoiunga mkono CHADEMA wana umri wa miaka 20. Na je mazingira ya kisiasa yatabakia hayohayo mileleGwalihenzi baada ya miaka mitano unakuwa umezeeka? Miaka 20 baada ya miaka 5 unakuwa 25.