Siku salama ya tendo la ndoa

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
habari ndugu wadau wa JF!
ninaomba kwa heshima na taadhima kuwasilisha swala la ni lini au siku gani ni salama kwa mwanamke kufanya mapenzi bila kinga na asipate ujauzito?
nawasilisha.
 
kuna thread humu ilifafanua vizuri sana na pitia pia jf doc wameelezea pia.
 
okey nimeshapitia mkuu,
thanks
ila maelezo yake bado hayako straight according to my doubt, kama vile ninavyohitaji
humo wameongelea zaidi KUPATA MIMBA, na mie nauliza zaidi kuhusu KUTOKUPATA MIMBA ndani ya mzunguko

maana yake ni kwamba kama ukifanya before hizo tarehe then automatically hakuna mimba mbona ipo clear?
tarehe zilizotajwa ni danger zone kwa hiyo kuziepuka ni kwenda visevesa ama siyo mkuu.
 
Pengine mwili wa mwanamke unapata vichocheo vinavyoubadili, ni vizuri kuacha kuanzia siku ya 9 au nane na kuanza siku ya 18-20.
 
nafikiri ni siku ya 13 na 14 tokea siku ya kuanza hedhi na sio tarehe 13 na 14 tarehe zinabadilika. halafu juu ya hapo,hizi huwa ni nadhalia z
aidi kwa sababu mizunguko hiyo huwa INABADILIKABADILIKA kutokana na mazingira aliyopo muhusika....wengi hubadilka akisafiri,wengine akifanya kazi ngumu,wengine akipata mshtuko n.k. kwa hiyo hizo siku siyo guarantee.
 
maana yake ni kwamba kama ukifanya before hizo tarehe then automatically hakuna mimba mbona ipo clear?
tarehe zilizotajwa ni danger zone kwa hiyo kuziepuka ni kwenda visevesa ama siyo mkuu.

For a woman with cycle length of 28 days, her fertile day is day14. Theoretically, a sperm can survive for about 3days waiting for an eggy, so in order to be more safe she can do it on any green day as shown below. She must not do it on the red and yellow days!

day1, day2, day3, day4, day5, day6, day7, day8, day9,day10, day11, day12, day13, day14, day15, day16, day17, day18, day19, day20, day21, day22, day23, day24, day25, day26, day27, day28.

So the most important thing here is to pinpoint your fertile day!
 
OK na kama siku zako zinaruka ruka mara this month umeenda 24 days next month 27, 22, 32... inakuwaje sasa.
 
OK na kama siku zako zinaruka ruka mara this month umeenda 24 days next month 27, 22, 32... inakuwaje sasa.
Maswali yako yote hayo pamoja na mengine yanapatikana katika thread hii.
HEBU BOFYA HAPA fuatilia kurasa zote katika link hiyo utapata majibu maana ilijadiliwa kwa kirefu sana. Au sio Penny?
 
okey nimeshapitia mkuu,
thanks
ila maelezo yake bado hayako straight according to my doubt, kama vile ninavyohitaji
humo wameongelea zaidi KUPATA MIMBA, na mie nauliza zaidi kuhusu KUTOKUPATA MIMBA ndani ya mzunguko

walimu wako walikua na kazi kwelikweli!
 
OK na kama siku zako zinaruka ruka mara this month umeenda 24 days next month 27, 22, 32... inakuwaje sasa.

Penny,

You will never ever find a woman with such an irregular cycle as you described above!! Please don't complicate the lesson!
 
Fuata siku lakini usifanye ndio msaafu ndugu yangu utaumbuka. Kuna kujisahau, kuna ulevi, kuna hamu kuwazidi wote na kadhalika.

Nakushauri bora muwe na kondomu zenu karibu haka kwenye pochi kama mnatoka na mnajijua. Wengine mapenzi huwazidi na kumaliza biashara huko huko matembezini kabla ya kurudi nyumbani. Ni kiasi cha kukunja tu kiti cha gari lao basi anafunga bao.
Hizo siku mbaya huwa ndio siku tamu kuliko kawaida asikuambie mtu bora ujizoeshe kutumia kondomu wakati mwingine.
 
habari ndugu wadau wa JF!
ninaomba kwa heshima na taadhima kuwasilisha swala la ni lini au siku gani ni salama kwa mwanamke kufanya mapenzi bila kinga na asipate ujauzito?
nawasilisha.

Siku tatu za mwanzo;)!
 
Habari zenu wanaJamii wenzangu? Mimi ni Lucilla nimejiunga kwa mara ya kwanza. Ninawashukuru kama mtanipokea na kuelimishana mambo ya hapa na pale kuhusiana na maisha ya kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom