Siku nzuri inavyokwenda...

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,335
Reaction score
23,951
Unaamka..unawasha computer...unafungua jamii forums...unakutana na picha kama hii....
 

Attachments

  • 1390796676876.jpg
    78.7 KB · Views: 323
  • 1390796698650.jpg
    93.4 KB · Views: 382
Daah kwangu ndo hatari
Notifications 620
Incoming friend 1
New like 296
New Mention 22
New Post quotes 301
 
Unaamka..unawasha computer...unafungua jamii forums...unakutana na picha kama hii....

una uhakika wa kuwa na 'siku nzuri' kama umo kwenye ki-group ambacho chochote usemacho kiwe pumba au cha maana kundi zima lita-LIKE na kusifia.
 
Ila siku nzuri inakuja kuharibiwa na mazombie wa lumumba
 
una uhakika wa kuwa na 'siku nzuri' kama umo kwenye ki-group ambacho chochote usemacho kiwe pumba au cha maana kundi zima lita-LIKE na kusifia.

Shem, wewe na mimi twajua siandikagi 'pumba'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…