rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,147
- 7,888
Tena mshukuru hajaandika kwa maherufi makubwa makubwa, mngekimbiana humu
Zigzag mwandiko embu tulia kijana unakimbizwa au
Sawa mkuu basi siku nyingine hatulie hili tupate kusoma kwa uzuriSio kijana ni nguli huyo hapa JF mpe heshima yake inawezekana ni matatizo tu ya macho ndio maana anachanganya herufi