Siku nisiyoisahau milele

Siku nisiyoisahau milele

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,888
Mahusiano n furahaa na amani. Mnamo MWAKA Fulani nikianza mahusiano na BINTI mmoja. Tulipendana sanaa mdawote akitakakuwa na mimi. Mnamo sikufulan niliomba TUKAE nae sehemu

Akaombaa atakuwa kwa mzaziwake. JIONI nkapata hisia KWENDA KWAKE. Nusu Saa nikiwa duka LA JIRAN NAMWONA anashuka kwa gari akaingia NDAN. Nikaamua KUINGIA NDAN. GAFLA bibie NAMWONA amependeza

Nikalazimisha kushika SIMU. Yalionikuta SIRI YANGU na Mungu. NKAKUTA msg akiandkka kwangu asbh morning ma LVE umeamkaje mmetumiwa msg moja WANNE. So nikiona msg ya miss u BASI MWENZANGU wametumiwa hizo hizo

MCHANA UKIONA nice lunch hny ujue wametumiwa WANNE. Nikaingià whatsup hukoo ndioo tuliwekwa GRP moja KAANDIKA ma lovers
Hukoo NAJAMAA wakituma msg za mapenzi kwakee ama nikimtumia kadi za miss u NK ana fwd kwa JAMAA kama zilivyo n vv AKIWA anantumia makadi aliotumiwa na ma lovers.

Usikate tamaaaaa LA maana moyo umeumbwa kuvumilia best. Miaka miwili ikaishia kuwa ya kutesana na kusalitia. BAADA YA MWAKA nkapata nilieandikiwa na mola swabanaahana wataaala

Never gv up.
 
polee mkuu
 
Mwenye microscope naomba aniazime ..nitamrudishia
 
umeandika kiarabu au kichina?embu tutafsirie
 
Dah yaani pdidy ndo unazeeka na matatizo yako? Hakuna dalili ya kupona tena!
 
Mahusiano n furahaa na amani. Mnamo MWAKA Fulani nikianza mahusiano na BINTI mmoja. Tulipendana sanaa mdawote akitakakuwa na mimi. Mnamo sikufulan niliomba TUKAE nae sehemu

Akaombaa atakuwa kwa mzaziwake. JIONI nkapata hisia KWENDA KWAKE. Nusu Saa nikiwa duka LA JIRAN NAMWONA anashuka kwa gari akaingia NDAN. Nikaamua KUINGIA NDAN. GAFLA bibie NAMWONA amependeza

Nikalazimisha kushika SIMU. Yalionikuta SIRI YANGU na Mungu. NKAKUTA msg akiandkka kwangu asbh morning ma LVE umeamkaje mmetumiwa msg moja WANNE. So nikiona msg ya miss u BASI MWENZANGU wametumiwa hizo hizo

MCHANA UKIONA nice lunch hny ujue wametumiwa WANNE. Nikaingià whatsup hukoo ndioo tuliwekwa GRP moja KAANDIKA ma lovers
Hukoo NAJAMAA wakituma msg za mapenzi kwakee ama nikimtumia kadi za miss u NK ana fwd kwa JAMAA kama zilivyo n vv AKIWA anantumia makadi aliotumiwa na ma lovers.

Usikate tamaaaaa LA maana moyo umeumbwa kuvumilia best. Miaka miwili ikaishia kuwa ya kutesana na kusalitia. BAADA YA MWAKA nkapata nilieandikiwa na mola swabanaahana wataaala

Never gv up.
Mimi napita tu
 
Zigzag mwandiko embu tulia kijana unakimbizwa au
 
Back
Top Bottom