FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Dec 7, 2018 #41 jimmyfoxxgongo said: Harudi tena Click to expand... Kipofu haachi gongo lake, atarudi tu. Anataka aombwe namba za "babu".
jimmyfoxxgongo said: Harudi tena Click to expand... Kipofu haachi gongo lake, atarudi tu. Anataka aombwe namba za "babu".
Mahole JF-Expert Member Joined May 17, 2018 Posts 682 Reaction score 924 Dec 7, 2018 #42 FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand... Hii inaitwa titi for tati siku zote njia muongo ni fupi
FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand... Hii inaitwa titi for tati siku zote njia muongo ni fupi
Kashi JF-Expert Member Joined Jan 6, 2013 Posts 897 Reaction score 747 Dec 7, 2018 #43 muhomakilo jr said: Hakuna uchawi wa kupenya kuingia Bank bila kuonekana,nikakombe mihela?. Click to expand... Huku upo, lakini sharti lake kubwa ukatwe kichwa kwa msumeno wa mbao lakini haukufi.
muhomakilo jr said: Hakuna uchawi wa kupenya kuingia Bank bila kuonekana,nikakombe mihela?. Click to expand... Huku upo, lakini sharti lake kubwa ukatwe kichwa kwa msumeno wa mbao lakini haukufi.
Papa Mobimba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 1,153 Reaction score 1,359 Dec 7, 2018 Thread starter #44 Nelson nely said: Alikuwa mweusi?? Click to expand... Hakuwa mweusi
Papa Mobimba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 1,153 Reaction score 1,359 Dec 7, 2018 Thread starter #45 NZURI PESA said: Kwanini ulimtemea mate? Kwakuwa alikuwa anadhuru wasio na hatia je huoni kwakumuachia mchawi aendeleee kuroga nawewe Ni MMOJA Kati Yao?WAARABU WA PEMBA............. Click to expand... Nilikuwa nimempa fundisho, ningekataa kumsamehe ingekuwa vita kali sana. Wana ushirikiano
NZURI PESA said: Kwanini ulimtemea mate? Kwakuwa alikuwa anadhuru wasio na hatia je huoni kwakumuachia mchawi aendeleee kuroga nawewe Ni MMOJA Kati Yao?WAARABU WA PEMBA............. Click to expand... Nilikuwa nimempa fundisho, ningekataa kumsamehe ingekuwa vita kali sana. Wana ushirikiano
Papa Mobimba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 1,153 Reaction score 1,359 Dec 7, 2018 Thread starter #46 Northman said: Kwahiyo hii stori ndio imefanya uje na ID mpya. Click to expand... Sijawahi kumiliki account JF
Northman said: Kwahiyo hii stori ndio imefanya uje na ID mpya. Click to expand... Sijawahi kumiliki account JF
Papa Mobimba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 1,153 Reaction score 1,359 Dec 7, 2018 Thread starter #47 FaizaFoxy said: Kipofu haachi gongo lake, atarudi tu. Anataka aombwe namba za "babu". Click to expand... Sina uhusiano na mganga yoyote na wala sitangazi biashara
FaizaFoxy said: Kipofu haachi gongo lake, atarudi tu. Anataka aombwe namba za "babu". Click to expand... Sina uhusiano na mganga yoyote na wala sitangazi biashara
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Dec 7, 2018 #48 Jamaa kanifurahisha hapo kwenye Saa Saba usiku Siku ya tatu Kisha akamalizia Wiki ya pili Hadithi ya kuanzia siku hii, ila uko vizuri kwa kusimulia hadithi.
Jamaa kanifurahisha hapo kwenye Saa Saba usiku Siku ya tatu Kisha akamalizia Wiki ya pili Hadithi ya kuanzia siku hii, ila uko vizuri kwa kusimulia hadithi.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Dec 7, 2018 #49 FaizaFoxy katika ubora wako kabisa. FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand...
FaizaFoxy katika ubora wako kabisa. FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand...
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,128 Reaction score 4,028 Dec 7, 2018 #50 Acha ushambenga kwann mfano wako umetaja kanda ya ziwa? Au ndo kuna wachawi sana ? Wivu tu kwavile mtukufu raisi anatokea kanda yetu pedwa!
Acha ushambenga kwann mfano wako umetaja kanda ya ziwa? Au ndo kuna wachawi sana ? Wivu tu kwavile mtukufu raisi anatokea kanda yetu pedwa!
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Dec 7, 2018 #51 Papa Mobimba said: Sina uhusiano na mganga yoyote na wala sitangazi biashara Click to expand... Hongera kwa zawadi ya jogoo.
Papa Mobimba said: Sina uhusiano na mganga yoyote na wala sitangazi biashara Click to expand... Hongera kwa zawadi ya jogoo.
Papa Mobimba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2018 Posts 1,153 Reaction score 1,359 Dec 7, 2018 Thread starter #52 FaizaFoxy said: Hongera kwa zawadi ya jogoo. Click to expand... Jogoo nilikula
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 6,403 Reaction score 12,020 Dec 7, 2018 #53 FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand... Mkuu hebu tupe jibu la hili swala. Ulifundishwa ama ulirithi????
FaizaFoxy said: Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani... "Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi." Click to expand... Mkuu hebu tupe jibu la hili swala. Ulifundishwa ama ulirithi????
cleaner wrasse JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 9,052 Reaction score 10,047 Oct 25, 2020 #55 My Son drink water said: Duh mkuu njoo inbox unifundishe namna ya kukamata wachawi Click to expand... Ili upate nini
My Son drink water said: Duh mkuu njoo inbox unifundishe namna ya kukamata wachawi Click to expand... Ili upate nini
Bajeti ya kunguru JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,388 Reaction score 1,094 Oct 25, 2020 #56 Nipate bahati hiyo ndio nimeua hivyo siwezi kumuacha salama hapo ajue kafa tu. MAGUFULI4LIFE.
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,699 Reaction score 4,902 Oct 25, 2020 #57 Mahole said: Ili dushelele lipenye bila ya kukwama Click to expand... Hahaahaha we jamaa utakua wa Madale wewe
Mahole said: Ili dushelele lipenye bila ya kukwama Click to expand... Hahaahaha we jamaa utakua wa Madale wewe