Siku nilipolazimishwa kutoa mchango kanisani

Siku nilipolazimishwa kutoa mchango kanisani

Huko kunaitwa kutanga na njia. Mfano na wao wakianzisha jambo usilopenda utahamia kwa wahindu au wapagani?
Kwa kuwa sijavunja sheria yoyote ya nchi si mbaya asubuhi nikiamka muislamu mchana muhindu usiku mpagani.

Kuna lingine?
 
Ilikuwa hivi, baada ya kupambana Dar, ili nipate nauli niende nyumbani Singida.

Nilifanikiwa kufika nyumbani ila mfukoni nikiwa nimebakiwa na 500 tu, basi jumapili nikaenda kanisani kusali baada ya ibaada kuisha kukawa na mchango wa ujenzi wa kanisa.

Ikawa kila mtu ana ahidi kiasi au kitu atakacho changia mm nikaahidi 2000 wakakataa, muda huo pesa ya sabuni naomba kwa mama kwani sikuwa na biashara yeyote,

Basi bana wakanibana wee mpaka stimu za sala zikanikata, nikakubali nitatoa 3000 nilipoondokaga sikugeuka nyuma

Hii kitu ya kulazimisha watu waahidi vitu vilivyo nje ya uwezo wao lipo mana baadhi ya Malamud.
Wewe ulizingua, wakati wanakulazimisha utoe ahadi, angesema utawapa milioni moja, halafu usepe zako, wakikufuatilia unawapa buku mbili tu, nyingine unawaambua hujafanijiwa kupata.
 
Waislamu wengi wanakula kitimoto
Waongo waongo sana majini yote yana jina ya kiislamu,ulishawahi kusikia jini joseph??masikini wengi waislamu yani wanawaza kwenda paradise wakati kila kukicha wanasababisha vita eti wanaita jihad.

Kamwe siwezi kuwa muislamu...
Ukifuata ya kwako kichwani,huwezi kuwa muislam.

Ukifuata maandiko yanakulazimu uwe mwislamu.
 
Ilikuwa hivi, baada ya kupambana Dar, ili nipate nauli niende nyumbani Singida.

Nilifanikiwa kufika nyumbani ila mfukoni nikiwa nimebakiwa na 500 tu, basi jumapili nikaenda kanisani kusali baada ya ibaada kuisha kukawa na mchango wa ujenzi wa kanisa.

Ikawa kila mtu ana ahidi kiasi au kitu atakacho changia mm nikaahidi 2000 wakakataa, muda huo pesa ya sabuni naomba kwa mama kwani sikuwa na biashara yeyote,

Basi bana wakanibana wee mpaka stimu za sala zikanikata, nikakubali nitatoa 3000 nilipoondokaga sikugeuka nyuma

Hii kitu ya kulazimisha watu waahidi vitu vilivyo nje ya uwezo wao lipo mana baadhi ya Malamud.
wengi lishatukela kikawaida mtu atoe alichonacho/Kwa uwezo wake
 
Mimi na hivi sina kipato Cha kila mwezi , natoaga buku tu.
 
Back
Top Bottom