Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,717
Ni pale kila akitumbuliwa mtu, basi nafasi yake inajazwa na Prof au Dr. Mi sijui kama hao ma Prof na ma Dr ni watu wa maana kihivo. Hao watu hakuna kitu kabisa kabisa kabisa kiutendaji.
Hata maisha ya hao so called ma Prof na ma Dr wa kibongo, tabia na maisha yao ya hovyo hovyo tu wala hawana knowledge ya ki-corporate world kwahiyo hata siku moja usitegemee performance yoyote exceptional kwa hawa watu.
Ukiona kitu wazungu hawafanyi, akati wana wasomi wabobezi kila idara mara elfu ya hawa wetu ujue kuna sababu kubwa mnooo na ya msingi kabisa kuhusu haiba ya watu wenye level fulani ya elimu na kazi ambazo zinawafaa kufanya.
Wenzetu walishaona mbali, hao wasomi wamezoea kuishi ulimwengu tofauti wa assumption na maisha fulani hivi fake fake ya dharau dharau, kamwe hawawezi na hawatakaa waweze kuongoza hivo walivopewa kuongoza.
Hao watu ujanja wao darasani huku kwingine kwenye corporate world wajanja wengi, lazima wafeli tu
Time will tell, save the thread!!!!!!