Siku ngumu maishani

The Ideologist

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
504
Reaction score
299
Pale unapopokea barua ya kufukuzwa kazi na kesi mahamakani ya ubadhirifu huku ukiwa na deni bank?

Unapogundua kaka/mdogo wako kumbe ni shoga (gay).

Father Amefariki huku familia mnapigania mirathi.

Umedisko chuo au umepiga zero.

Mkeo unachapiwaaaa.

Umepima umekutwa na HIV.


Mwanzo WA STRESSS:angry::angry:
 
Troubleshoot problems.............................!!!
 

hiyo namba 1 ni kawaida utaanza tena kusoma au upige mishe zingine!!
namba 2. ni kawaida unaandaa vijana walaji tigo unawapa hela ya kutosha kisha unatengeneza fumanizi...
namba 3. ni kawaida unasambaza kama dozi ya ruti za fast jet..........
 
ndo hapo unapoweza kujiuliza why me jamani,ila kiukweli dunia hii ina mengi aiseee!!!!!!!!!!!!!!
 
hiyo namba 1 ni kawaida utaanza tena kusoma au upige mishe zingine!!
namba 2. ni kawaida unaandaa vijana walaji tigo unawapa hela ya kutosha kisha unatengeneza fumanizi...
namba 3. ni kawaida unasambaza kama dozi ya ruti za fast jet..........

namba 3 unaanza kusambaza tena??????????????????
 
hiyo namba 1 ni kawaida utaanza tena kusoma au upige mishe zingine!!
namba 2. ni kawaida unaandaa vijana walaji tigo unawapa hela ya kutosha kisha unatengeneza fumanizi...
namba 3. ni kawaida unasambaza kama dozi ya ruti za fast jet..........

Usambaze kwa watoto wa wenzako inahusu??!! Umeupata tulia
 
Nikipima nikakuta nna H.I.V basi nita R.I.P there there....
 
Usambaze kwa watoto wa wenzako inahusu??!! Umeupata tulia

ila jamani kama aliyenipa alikusudia je!!!!
na mimi si nakusudie..........!!!!
tena bora wote tuwe na ukimwi ili tusiogopane!!!!
unafikiri nikikusambazia siku nyingine si rahisi kukupata ni tofauti na nikikausha halafu ukajua.......!!
 

hizo mbili za mwanzo ndio siku chungu maishani. hizo zingine kawaida tu zimezoeleka.
 
Pale unapopokea barua ya kufukuzwa kazi na kesi mahamakani ya ubadhirifu huku ukiwa na deni bank?
Hii ni ngumu kubeba, yahitaji ujasiri na moyo wa chuma...!
Huku kodi ya 300K+ kwa mwezi inakusubiri.
Watoto wapo ''cape town academy''


unapogundua kaka/mdogo wako kumbe ni shoga (gay)....
..I wordn't be bothered a lot, his life...his business

Father Amefariki huku familia mnapigania mirathi.....
Father alishanipa urithi wa elimu, the rest is BS!!

umedisko chuo au umepiga zero.......
Haina shida, nitaanza upya, hata hivyo elimu haina mwisho...na mvi zetu bado tunasoma tu...

mkeo unachapiwaaaa.......
Si jambo kubwa kihivyo, japo litanipa mda mgumu..lakini maisha yatasonga.
umepima umekutwa na HIV..........
Hata sijui nita deal nalo vipi, nahisi naeza kufa papo hapo..ndio maana kuchovya ovyo basi...
[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…