JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Unajua wasaidizi wake wana jitahidi kumshauri lakini ameshindikana. Kama kweli mwaka huu kutakuwa na uchaguzi basi tutegemee vioja!Hakika umenena vyema
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,Unajua wasaidizi wake wana jitahidi kumshauri lakini ameshindikana. Kama kweli mwaka huu kutakuwa na uchaguzi basi tutegemee vioja! Wafadhili wamegoma kutoa fedha sababu Jiwe hataki kufuta kesi za kisiasa zote zilizoko mahakamani. Hashauriki.
Hili la Covid-19 ndio usiseme! Dunia itamtenga sababu ya ubishi wake.
Zinaokotwaa uliza Lumumba.Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?, Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Hii imenikumbusha ilivyokuwa ikitokea mjini Wuhan siku za mwanzoni za mlipuko wa Corona. Watu waliokuwa wanadondoka bus/ railway stations, super markets etc mpaka serikali ya China ikapiga marufuku urushaji wa hizo videos kwenye social mediaZinaokotwaa uliza Lumumba
Sana nawashangaa walio baki kwenye siasa,hii kitu ni ya kupaza sauti wote,ili dunia ujue kinacho tokea tunaweza saidiwaHii imenikumbusha ilivyokuwa ikitokea mjini Wuhan siku za mwanzoni za mlipuko wa Corona. Watu waliokuwa wanadondoka bus/ railway stations, super markets etc mpaka serikali ya China ikapiga marufuku urushaji wa hizo videos kwenye social media
Hali ni mbaya Dar Es Salaam
Hizo maiti huko barabarani huzioni mkuu au nyie vichaa wa nchi hii mnaompotosha jiwe mpaka anatoa speech za kichawi hadharaniNyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,
Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.
Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Halafu yeye kajificha Chato!
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyesema ukweli wote bila kumung'unya maneno
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyechukia rushwa ,ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.
Siku itasimuliwa ujenzi wa madaraja, viwanda, reli, hospitali, mabwawa ya umeme ,na miundombinu mingine lukuki ndani ya taifa hili.
Siku moja tutalia kwa kuomba na kusàli kupata Rais Kama huyu lakini haitawezekana.
Siku moja ,tutaandika historia mpya ya taifa hili kupitia juhudi na jitihada za Sasa.
Hizo maiti huko barabarani huzioni mkuu au nyie vichaa wa nchi hii mnaompotosha jiwe mpaka anatoa speech za kichawi hadharani
So far kwa Dar zimeshaokotwa maiti 2.Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,
Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.
Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Hebu jifunze kutofautisha kuombea nchi mabaya au kutoa tahadhari.Si vema kuombea nchi mabaya, tutakiane kheri na baraka , huku tukiendelea kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa...
Ramadan Mubarak
Mfia tumbo kaenda kujificha kijijini LufilyoPamoja na yote Magufuli ni mfia nchi yake,ameamua liwalo na liwe nchi na watu wangu kuwafungia italeta shida sana kwenye maisha yao maana vipato vya watanzania ndo kama hivyo vya kuokoteza na kuchakula kila siku ili wapate cha kuingiza mdomoni,,,ingawa kama huu ugonjwa utaenea shida itakuwa kubwa sana. Tumechelewa