Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,643
Ma milioni aanayolipwa wanayafanyia nin?Kuna boss mmoja kastaafu juzijuzi tu hapa yani ni anatia huruma. Amestaafia kwenye nyumba ya serikali alikuwa anajenga ila sidhani kama alishamaliza kwa sababu kaomba anedelee kubaki kwenye nyumba ya serikali. Halafu alikuwa boss mkubwa tu yani CEO. Mpaka amestaafu alikuwa hana biashara yeyote ile. Kuna siku nimekutana nae kakonda ghafla yani kaishaa na uzee ndio unaonekana dhahiri sasa.. wakati huo alikuwa anaftwa na V8 nyumbani sasa hivi anaendeshwa na harier
Wakati akiwa kazini alikuwa hakai ofisini yani hizo safari zake zilikuwa ni balaa.. kama ni pesa alipata sana ila sijui kafanyia nini.. Na alikuwa akikuchukia anakuhamisha anakupeleka sehemu nyingine ukafe njaa. Alihamisha sana watu ofisini na alikuwa hapendwi. Sasa hivi anaishi maisha ya unyonge na hata mwaka bado hajamaliza tangu astaafu.
Tujifunze kuishi na watu vizuri tukiwa kazini..
Inawezekana anasubiria mafao...Kuna boss mmoja kastaafu juzijuzi tu hapa yani ni anatia huruma. Amestaafia kwenye nyumba ya serikali alikuwa anajenga ila sidhani kama alishamaliza kwa sababu kaomba anedelee kubaki kwenye nyumba ya serikali. Halafu alikuwa boss mkubwa tu yani CEO. Mpaka amestaafu alikuwa hana biashara yeyote ile. Kuna siku nimekutana nae kakonda ghafla yani kaishaa na uzee ndio unaonekana dhahiri sasa.. wakati huo alikuwa anaftwa na V8 nyumbani sasa hivi anaendeshwa na harier
Wakati akiwa kazini alikuwa hakai ofisini yani hizo safari zake zilikuwa ni balaa.. kama ni pesa alipata sana ila sijui kafanyia nini.. Na alikuwa akikuchukia anakuhamisha anakupeleka sehemu nyingine ukafe njaa. Alihamisha sana watu ofisini na alikuwa hapendwi. Sasa hivi anaishi maisha ya unyonge na hata mwaka bado hajamaliza tangu astaafu.
Tujifunze kuishi na watu vizuri tukiwa kazini..
Nyie mshastafu mapemaπππMajobless na sisi tunaustaf, au ndio tushastaaf
Haya mambo bado yapo kweli?? Au ni hadithi za zama za kale?? π€£Kuna boss mmoja kastaafu juzijuzi tu hapa yani ni anatia huruma. Amestaafia kwenye nyumba ya serikali alikuwa anajenga ila sidhani kama alishamaliza kwa sababu kaomba anedelee kubaki kwenye nyumba ya serikali. Halafu alikuwa boss mkubwa tu yani CEO. Mpaka amestaafu alikuwa hana biashara yeyote ile. Kuna siku nimekutana nae kakonda ghafla yani kaishaa na uzee ndio unaonekana dhahiri sasa.. wakati huo alikuwa anaftwa na V8 nyumbani sasa hivi anaendeshwa na harier
Wakati akiwa kazini alikuwa hakai ofisini yani hizo safari zake zilikuwa ni balaa.. kama ni pesa alipata sana ila sijui kafanyia nini.. Na alikuwa akikuchukia anakuhamisha anakupeleka sehemu nyingine ukafe njaa. Alihamisha sana watu ofisini na alikuwa hapendwi. Sasa hivi anaishi maisha ya unyonge na hata mwaka bado hajamaliza tangu astaafu.
Tujifunze kuishi na watu vizuri tukiwa kazini..
Yapoo, wakikaa kwenye nafasi utasikia vijana mjiajiri wao wanashidwaHaya mambo bado yapo kweli?? Au ni hadithi za zama za kale?? π€£
Mtumishi ulipenda sana chingili na mbususuππππAsubuhi na mapema nakutana na roho wa bwana ananena na Mimi kupitia mwandiko wa mtumishi @Magical power.
KabisaHamna mtu mgumu kumshauri kama mstaafu.
Nyie tayarMajobless na sisi tunaustaf, au ndio tushastaaf
KabisaKuna boss mmoja kastaafu juzijuzi tu hapa yani ni anatia huruma. Amestaafia kwenye nyumba ya serikali alikuwa anajenga ila sidhani kama alishamaliza kwa sababu kaomba anedelee kubaki kwenye nyumba ya serikali. Halafu alikuwa boss mkubwa tu yani CEO. Mpaka amestaafu alikuwa hana biashara yeyote ile. Kuna siku nimekutana nae kakonda ghafla yani kaishaa na uzee ndio unaonekana dhahiri sasa.. wakati huo alikuwa anaftwa na V8 nyumbani sasa hivi anaendeshwa na harier
Wakati akiwa kazini alikuwa hakai ofisini yani hizo safari zake zilikuwa ni balaa.. kama ni pesa alipata sana ila sijui kafanyia nini.. Na alikuwa akikuchukia anakuhamisha anakupeleka sehemu nyingine ukafe njaa. Alihamisha sana watu ofisini na alikuwa hapendwi. Sasa hivi anaishi maisha ya unyonge na hata mwaka bado hajamaliza tangu astaafu.
Tujifunze kuishi na watu vizuri tukiwa kazini..
Wacha nisubirie foleni nikaone maisha ya mbinguni ,ya duniani nimefeli labda nitatoboa hukoMtumishi ulipenda sana chingili na mbususuππππ
πππππππWacha nisubirie foleni nikaone maisha ya mbinguni ,ya duniani nimefeli labda nitatoboa huko
Cheka Sana ila omba yasikukuteπππππππ