Mwaka 1994 aliandika makala ya kusisimua aliyoipa kichwa cha maneno, ‘Imperialism after the Empire: Lessons from Uganda and Tanzania', makala ambayo yalichapishwa katika gazeti la The Sunday Nation (Nairobi), May 22, 1994. Katika makala hayo, Prof. Mazrui aliandika yafuatayo:
"What we are witnessing in Tanzania is a series of remarkable events which can be interpreted as a struggle for the sub-decolonisation of Zanzibar after its annexation by Tanganyika."
Na pia akaandika:
"In this Union, Tanganyika did not lose anything. It retained its Coat of Arms, its national anthem, its seat at the United Nations and its own President. What changed was simply a name - Tanganyika to Tanzania."