Hello! Habari zenu wakubwa, heshima yenu. Baada ya mda, hatimaye yamekamilika. Majibu ya kidato cha 6 yametoka na nimepata dvn 3 point 15. Yaan History E, Kiswahili D na English S. Namshukuru mungu kwa kila jambo. lkn pia nawashukuru nyote mliohusika kwa kila kitu juu yangu. Shukran za Dhati kwenu KING'ASTI, DARK CITY, na wengineo. mungu awazidishie Imani na yaliyomema kwa dhati kbs