Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui lakini umenifadhili kama mtoto wako. Pia niwashukuru wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi mungu awabariki na awajaalie neema ninyi na vizazi vyenu. Vilevile mungu awasameheni nyote mliohisi mimi ni mwongo mungu awasamehe sana.
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui lakini umenifadhili kama mtoto wako. Pia niwashukuru wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi mungu awabariki na awajaalie neema ninyi na vizazi vyenu. Vilevile mungu awasameheni nyote mliohisi mimi ni mwongo mungu awasamehe sana.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/648603-siku-nne-tu-3.html#post9387630
habari nzima ilianzia hapo juu. na mrudisho nyuma uko hapa:
Mrejesho:
Jana huyu kijana alinitaarifu tena juu ya suala lililoibuka la kulipia kituo cha kufanyia mtihani. Nikamuagiza kwa sababu alishasema ana tzs 30,000/= basi azitumie hizo kulipia kituo cha mtihani na tutaona cha kufanya juu ya ada. Kweli alifanya hivyo na kukamilisha na kupewa reference mpya (kwa sababu asingeruhusiwa kutumia ile ya form two).
Kijana micka jac amelipiwa ada ya mtihani kiasi cha tzs 73,000/= leo hii. Ada ilifika hapo tena kwa sababu kulikuwa na fine ya kuchelewa kulipa.
vanmedy, tafadhali wasiliana kwa pm na kijana ili umtumie ile pesa yako (hakika sio ndogo kwa mhitaji na Mungu akubariki). Napenda kutoa shukrani za dhati kwa babu Dark City kwa kuongezea sehemu ya ada, na kwa kaka Matola kwa kumtumia kiasi kwa ajili ya kumsaidia nauli na mengineyo.
Haya dogo ulete matokeo hapa, diaspora Mbu anasubiri kuhusishwa na ada ya chuo. tena ukipata ualimu ndo kabisaaaaa, urudi na thread 100 hadi watoe!
Kitu alichonipa raha huyu mtoto ni kutaja ada na kusema kiasi alichokwisha kutafuta. Ni mtu mwenye bidii na ambae hajabweteka. Niliwahi kukutana na kijana mwingine alikuwa na biashara ya genge huku anasoma high school. Kweli ukifanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu, tutakuja kukutana maofisini huko. Ukimaliza shule useme tukutafutie na ajira.
Aluta continua:grouphug:
kumbe king'ast ni mama! hongera mkuu kwa ufadhili wako may Might God expand your territory!
unless you tell me that your not used to bible!Which territory are you refering to?
Which territory are you refering to?