Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,944
Habari wananchi wenzangu!
Nimewaza peke yangu nimeshindwa kupata jibu, najua ni wazo baya kwa mtu au watu fulani endapo nitaliweka wazi.
Mara nyingi tumekuwa tukishangilia pale taratibu za manunuzi ya kiserikali zikivunjwa hadharani, na wakati mwingine tumechukulia simple tunapoona kanuni zinazotawala matumizi ya fedha za umma zikiamriwa na mtu mmoja. Ok, yawezekana nia ya mkuu ni njema lakini swali ni hili; "Je, siku moja pasipo sisi wananchi kufahamishwa hawezi kuamuru bilions kadhaa ziwekwe kwenye akaunti tusiyoitambua na ambayo si salama"?.