Aisee. Kwahiyo miaka 14 mtu unaowa kabisa?
Kweli. Kama hakuwa tayari ya nini kula hela yake? Kama alitaka mtaji wa biashara ilibidi asema maana hiyo inaweza tafsiliwa kuwa utapeli.Aende kuolewa tu maana hajafaulu na anamsaidia mama yake kuuza chakula na tayari laki tisa za watu zimeliwa hamna namna otherwise aolewe mama kureplace hiyo pesa
Kweli. Kama hakuwa tayari ya nini kula hela yake? Kama alitaka mtaji wa biashara ilibidi asema maana hiyo inaweza tafsiliwa kuwa utapeli.
Kweli kabisaaa maana hakuna mterezoKweli. Kama hakuwa tayari ya nini kula hela yake? Kama alitaka mtaji wa biashara ilibidi asema maana hiyo inaweza tafsiliwa kuwa utapeli.
Wewe sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu huyo aolewe kama kuna idhini ya wazazi wake. Wala sheria ile haijasema muolewaji akubali au asikubali.kama wazazi wamekubali unataka akae mtaani ili ajazwe mimba na kutelekezwa? Mwanamke kwa umri wake huo anazaa vizur tuMtume aliwapotosha sana wafuasi wake, 14 years???
ni kweli kuwa jamaa hajaonja ngozi?Daa kwahiyo jamaa hajafaidi kabisa kifaa
Duuu!!! hyo avatar niwewe halisia due!!!