Siku mbili za mateso

Siku mbili za mateso

Kwa siku takribani 2 nilikuwa kifungoni baada kupewa ban.Ban uisikiage tu kwetu tulio wahi kuipata.Kwa siku hizi mbili nimeteseka sana,kitu ambacho huwa kinafanya ninunue bando ni Jamii forums sasa safari hii baada ya kununua bando na kutaka kuingia JF nikakuta kuna mbinyo.Kuepuka bando langu kuisha bila sababu za msingi ikanibidi niangalie pilau kwa siku zote mbili,na kujiongezea mazambi.Hakika nimejifunza jambo.Shukrani zangu za kipekee zimueedee bwana PAW kwa kutoa adhabu stahiki .Kuanzia sasa nahaidi kuwa mwanajamvi mwenye kufuata kanuni na taratibu,pia nawaasa wanajamvi wengine wasiofuata kanuni na taratibu kuwa watashughulikiwa kikamilifu.Imagine ban tu ya siku 2 ni kima miaka mwaka,sasa inakuaje ukipewa mbinyo wa mwenzi mmoja.Nawasilisha
Specifically ulifanya kosa gani hadi ukawa banned mkuu?
 
Niliwahi kupigwa ban ya mwezi nikasikia kizunguzungu nusura nizimie, hawa mods watakuja kutuua na mapressure yetu haya
 
Wewe una account moja ,kuna jamaa yangu anazo kumi,ikifungwa moja au tatu anatesa tu,baada ya muda zinakua zimefunguliwa ,nazo zinaanza kukimbiza tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulikuwa umelog out sawa unaweza kuingia kama visitor, lakini usijaribu kuingia kwa kutumia akaunti yako wanafunga mpaka simu
 
Kna ka Id kangu kamepigwa ban Jana eti mpaka tarehe 15, wakati kosa lenyewe la kitoto kweli.

Wanipige ban na hii nafungua nyingine mamaee
 
Kna ka Id kangu kamepigwa ban Jana eti mpaka tarehe 15, wakati kosa lenyewe la kitoto kweli.

Wanipige ban na hii nafungua nyingine mamaee
Hebu tuambie kosa lenyewe,uskute ulimtongoza my wife wa mod huko pm
 
Back
Top Bottom