Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

Hakika Wewe ni mfamasia wa kweli
nadhani ni wale wa week tatu wa short course za TFDA kwa wauza dawa
 
Maskini mfamasia asie jielewa pole ,laite ungejua usingetaja fani ya watu loll
 
suala la mimba lonafanyika ndani ya sekunde cahche mkuu
 
Acheni kumshambulia nadhani hamjamuelewa.anacho shangaa ni kwamba siku mbili tu baada ya kumgegeda anaambiwa ana mimba kitu ambacho ni vigumu kutokea.
 
Acha maneno mengi wewe.Tumeshaelewa kuwa dada yako ana basha wa kihindi period.
 
acha ubwege nazi! kwa hio ck ya kwanza tu wapiga kavu???
 
Acheni kumshambulia nadhani hamjamuelewa.anacho shangaa ni kwamba siku mbili tu baada ya kumgegeda anaambiwa ana mimba kitu ambacho ni vigumu kutokea.
una akili sana bro, we ni wa pili kunielewa, wengine wanaropoka tu. hawasomi wakaelewa na kutafakari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…