Wewe una mentality ya Kulala kwasababu ni usiku.Ulishawahi kujiuliza nini kingetokea kwa Dunia endapo siku moja ya muzungu ingekuwa na Masaa 72 yaani masaa 36 mchana na Masaa 36 usiku
Who is Counting?Shida ni sayari tu uliyozaliwa. Venus inatumia siku 240 kukamilisha one rotation.
Can you imagine, kwao siku moja ni ndefu kuliko Mwaka.
You can make your own and see whts going on!Ulishawahi kujiuliza nini kingetokea kwa Dunia endapo siku moja ya muzungu ingekuwa na Masaa 72 yaani masaa 36 mchana na Masaa 36 usiku
Mkuu, sayari inapolizunguka jua ama nyota na kuukamilisha mzunguko huo katika "orbit" yake hupelekea kuwa na muda ulioutumia kutambulika kama "mwaka" mmoja. Aidha, sayari inapojizungusha yenyewe ktk mhimili wake hupelekea kuwa na usiku na mchana, na muda ambao hukamilisha mzunguko huo hutambulika kama 'siku" moja.Ulishawahi kujiuliza nini kingetokea kwa Dunia endapo siku moja ya muzungu ingekuwa na Masaa 72 yaani masaa 36 mchana na Masaa 36 usiku
Hili kwa sasa lishakuwa mavumbi pongezi ziende kwa wachina aka wazee wa bandari ya bagamoyoLijiwe lingekaa miaka 30 !
Haki ya mungu Tungekoma