Mu hali gani wapendwa wana ChitChat....
Napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kunilinda mpaka sasa, ilikuwa siku kama ya leo majira kama haya nilipojiunga rasmi hapa Jamiiforum.
Nilihamasishwa na rafiki yangu ambaye mpaka leo sifahamu ID yake. Yeye alikuwa anapenda sana kusoma mada MMU ya kunishirikisha, basi tukawa tunasoma kila mara ila kuna mada ambazo kama wewe sio member huruhusiwi.kuzisoma. Hapo ndipo niliamua kuji-register kama member rasmi.
Nimefaidika sana na mtandao huu, kuna vitu vingi ambavyo nilikuwa sivielewi na sasa vimekuwa muongozo katika maisha yangu ya kimahusiano, kifamilia, kikazi na hata kifamilia pia. Nimefarijiwa wakati wa huzuni, nimefurahishwa nikiwa nimechukia. Pia nimepata marafiki wengi wenye manufaa zaidi.
Pili, napenda kuishukuru familia yangu ya Chitchat kwa kuanza na my Lovely daddy
watu8, lovely mummy
measkron, lovely sisters
sweetlady,
WiseLady, my cousins
ladyfurahia &
FirstLady. Out lovely brother
Davie S.M.... kwa kuendelea kuonesha mshikamano. Sijamdahau my x-huz
C6 alikuwa msaada sana kwangu katika nyanja fulani fulani.... (nakukumbuka aisee)
Tatu, nawashukuru marafiki wooote wakiongozwa na shostito wa ukwenheee
Elizabeth Dominic (ntakusaka baadae nina mchongo mama)
Evelyn Salt (mtasha kakumiss bana ujepo walau weekend)
beibe nasty (we naye unafichwa sana mama duh!)
Erickb52 (mbona huji tena mza, ujue tumemiss ile makitu ya level 8!!!) Mzee
Mtambuzi (mekumiss we Mzee, waja lini tena?) King Mswati
Arushaone (mzee wacha kuwa muongo ushazeeka wewe)
Kaizer (wasalimie wake zako)...... Na wana Chitchat wooote mmekuwa na upendo wa hali ya juu...
Nawapenda woooote.....
To
charminglady......