kila kukicha viongozi wa ccm wamekuwa wanatumia jeshi la polisi kwa maslahi ya ccm kana kwamba lipo kwa ajili ya chama chao lakini wakae wakijua kuwa haki zinazodaiwa na wananchi wa tabaka la chini ndio hizo ambazo hata polisi wangependa kuzipata.
Wewe unafikiri wanafurahia kuishi kwenye fulsuti ya mabati kama njiwa? Halafu waende kuwalinda mafisadi kwenye mahekalu yao usiku wakijirusha na familia zao huku wao askari(FFU) wakikesha kuumwa mbu. Ufashisti wa CCM nao una mwisho, na hao hao wanaowatumia kutuvurumishia mabomu ndiyo watakao amua huo mwisho.
Kwanza hao police wenyewe wanaishi kwenye nyumba za mabati utafikiri mammbwa wakati mafisadi au ma-criminal ya tanzania yaishi kwenye mansion house, wapumavu tu hao pilice wa tanzania. nguo zenyewe wanazovaa zinaviraka aibu kweli police kwa police wetu kuvaa sare za viraka.