Siku hizi Utumishi wa Umma kukaimu haiangalii Seniority?

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,764
2,000
Mara zote utaratibu wa utumishi wa umma upo kisheria , hata inapotokea mfano waziri mkuu ameteuliwa akiwa hana junior kama Wakati Sumaye alipopata uwaziri mkuu na kuwaacha mawaziri waandamizi kama Makweta,Kimiti na Wassira ....bado ilipotokea hayupo aliyekuwa akikaimu nafasi yake ni Waziri Muandamizi kama Paul Kimiti.
Karibuni wakati wa awamu ya nne Waziri muandamizi alikuwa ni Hussein Mwinyi au Lukuvi.

Huu utaratibu wa serikali wa kukaimisha afisa muandamizi au mteule muandamizi kuliko wote unashuka hadi mikoani na wilayani ...lakini inaonekana ni tofauti katika utawala huu na pengine wataalamu wa civil service watatuambia...

Naona mkuu wa mkoa wa dar hayupo na kamkaimisha Ukuu wa Mkoa Salum Hapi ambaye ni kati ya wakuu wa wilaya junior ....Mkuu wa Wilaya Mwandamizi kuliko wote kwa sas hapa DAR Ni bibiye MH SOPHIA MJEMA ..huyu anayo karibu miaka 10 ndani ya ukuu wa wilaya .....inakuwaje RC anasafiri na kumuachia wa chini yake .....napata tabu kidogo juu ya huu mlolongo wa seniority ndani ya utumishi wa umma kama bado unafuatwa .
 
bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,335

Kwahiyo hoja ni seniority hata kama utendaji ni mdogo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom