Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

Mkuu hawa viumbe ukiendekeza kuwapa hela kwa m pesa, t pesa na a mane utaishia kunawa tu halafu wajanja ndo wanakwanyua kipenyo mimi mwenyewe kuna demu alitaka anichezee faulo akafeli nikamvuta king nikala sukari ambayo serikali ya wajinga wanahaha na kuishia kunawa..
teh teh teeeeh!! kwani ukitoa lazima ukule? unatoa tu kiroho safi yaani.
 
ndivyo mnavyodanganyana? mahari tuliokula kuirudisha yaani hata uuze ukoo mzima huwezi kuirudisha.
nawaangalia tu unavyodanganywa nawe umezubaa tu.

jambo la kheri hili tusimwage kuku kwenye mchele wengi
natafuta muda,niongee na wewe vizuri
mwanao na wajukuu zako watakua salama hapa
 
atoto tucngenunua had zishuke bei na zile za bei rahisi ungekuta misafara mirefu kama ya sukari kwa mwenyekiti
 
JK-''ukitaka kula lazima uliwe,sasa wewe unataka kula tuu bila kuliwa,haiwezekani''
 
atoto acha mambo ya kitoto nawe, na hizi njaa za mwendokasi unataka muamala usome! fikiria ukitoka m-hela tu wale walioimbwa kwenye kawimbo ka huku KWETU wanavyokukodelea mimacho, ushukuru Mungu ukifika salama kwenu. Ila ukija gheto kiroho safi unapewa mzigo unaamsha popo hakuna anaejua umeondoka na kitita....so magheton risk free....ukiona nongwa zama tigo niwezeshe au m-pawa kwa raha zako ujilipue mwenyewe..
 
Duh Hii kitu keshaisambaza... mlizidi sana na ndio Dawa yenu mnaaomba pesa kimazoean hata hamna Shida... unakuta unaombwa pesa ukimuambia njoo ati oh nipo kwenye Siku... Pumbavu... no more msg... siku ukiwa mzima njoo siwezi kukutumia nimelala na leo sitoki njee mapumziko.. full stop
 
jambo la kheri hili tusimwage kuku kwenye mchele wengi
natafuta muda,niongee na wewe vizuri
mwanao na wajukuu zako watakua salama hapa
hahahaaaa! hayo ndio maneno sasa.
ila nyie watu wenye maneno mazuri mazuri hapana aisee,mwanangu mwenyewe ubandidu nimemfundisha weeee ila imeshindikana, nimebaki namuangalia tu, ila njoo tu penye ankara habaharibiki neno si unajua tena!!!
 
Duh Hii kitu keshaisambaza... mlizidi sana na ndio Dawa yenu mnaaomba pesa kimazoean hata hamna Shida... unakuta unaombwa pesa ukimuambia njoo ati oh nipo kwenye Siku... Pumbavu... no more msg... siku ukiwa mzima njoo siwezi kukutumia nimelala na leo sitoki njee mapumziko.. full stop
hakuna anaeomba pesa wakati hana shida bwana, we ulisikia lini shida zikaisha?
 
atoto acha mambo ya kitoto nawe, na hizi njaa za mwendokasi unataka muamala usome! fikiria ukitoka m-hela tu wale walioimbwa kwenye kawimbo ka huku KWETU wanavyokukodelea mimacho, ushukuru Mungu ukifika salama kwenu. Ila ukija gheto kiroho safi unapewa mzigo unaamsha popo hakuna anaejua umeondoka na kitita....so magheton risk free....ukiona nongwa zama tigo niwezeshe au m-pawa kwa raha zako ujilipue mwenyewe..
duuuh mlivyo na visingizio kwenye kutoa pesa tu mmeshindikana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom