Siku hizi Nape Nnauye simwelewi elewi post zake

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani sijajua anaesukumwa na anaesukuma ana lengo gani
FB_IMG_1565453423902.jpeg
 
Huelewi nini hapo mbona kila kitu kipo wazi kabisa ? We m...wa mbwa huuoni basi hata mkia huuoni ?
 
Swali la kichochezi hili sio lazima uelewe kila kitu vingine kama huelewi achana navyo ujue havikuhusu







Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
 
Huyo aliochorwa ramani anaesukumwa ni kama jumuiya za kimataifa na anaesukuma ni anaetaka kujitenga au kuona hao jamaa hawana msaada wowote lakini walivyo simama, wote wanategemeana. Anaesukumwa akianguka, anaemsukuma habaki salama.
 
Afanye masihara aone kitakacho mtokea..
Alikoswa koswa na ajali akaja kukoswa na mguu wa kuku sa hivi sijui nini kitamtikea japo hatuombei hilo
Utamwelewa muda ukifika. Learning is a process.
 
Swali la kichochezi hili sio lazima uelewe kila kitu vingine kama huelewi achana navyo ujue havikuhusu







Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Morogoro
Sasa ana maana gani kuposti picha kama hiyo?di bora masood kipanya anaweka ujumbe wa maneno kitu kinajulikana
 
Back
Top Bottom