Wana mambo ya kijinga sana huko Msumbiji nakumbuka mwaka huu alikuja Lugola kuibgilia kati mambo yao kwa wa-Tz.Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.
Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?
acha utoto wewe hujuwi kuw walirudishwa kibabe plus kubakwa katika 'operation' swahili, pia kulikuwa na mgodi watz wakichimba ila nowdays umefungwa kiintelijensia hakuchimbiki tenaHizo propaganda tu mkuu hakuna kitu kama hicho
Operation Swahili? Mkuu naona we ndo unaleta utotoacha utoto wewe hujuwi kuw walirudishwa kibabe plus kubakwa katika 'operation' swahili, pia kulikuwa na mgodi watz wakichimba ila nowdays umefungwa kiintelijensia hakuchimbiki tena
Karibu mtwara mkuu vp upo maeneo gani nikuletee korosho kidogo utafune
Mkuu siku hizi kuna dalaja LA umoja watu hawapitii tena msimba wanavukia moeda moja kwa moja kupitia darajani, mambo ya viboti kama umekalia maji walishaacha
Mitikasi ya kuvuka boda bado ipo sana tu ila wahusika wamekuhofia.Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.
Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?
Mi Niko mangaka jirani na mtambaswala "kwenye daraja LA umoja" kifupi fursa ni nyingi ingawa security kwa wageni ni ndogo mno kudhulumiwa, kuibiwa hata kuuwawa in kitu cha kawaida sana. Ingawa wanaojiatach na wenyeji kidogo wana nafuu.
Umwoneshe kwanza shamba ulilolima ndo umpe atafune.Karibu mtwara mkuu vp upo maeneo gani nikuletee korosho kidogo utafune
utoto wako wewe uliekimbilia operaation swahili badala ya hoja, pia hiyo ilikuwa ni operation ya kuwarudisha waswahili/wabongo makwao na wengi walirudishwa kibabeOperation Swahili? Mkuu naona we ndo unaleta utoto
Hapa kijjini kwetu wilaya ya mwanga mkoa wa kilimanjaro tulizika maiti mbili zilizotoka mpzambique rip Salim mfanga !! Walioleta maiti walielezea unyama wa kutisha kwa wageniiHizo propaganda tu mkuu hakuna kitu kama hicho