Siku hizi Maji na rambaramba vimeadimika wakati wa mchana

Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
3,176
5,703
Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije?

vipi huko mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…