Siku hazifanani

Hahahhaa..yasije yakukuta,kuna mtu alikuwa anahamu ya kugegeda sasa badala ya kutuma ujumbe huo kwa washkaji akatuma kwenye group la familia...balaaa hiyo aibu yakeView attachment 339433
Duuuh! Hiyo ilikuwa noma sana lakini walimuelewa tu kwani nani asiyegegeda/gegedwa dunia hii? Nipe kampan yako sasa sio unaniacha tu naangamia na upweke
 
Nina Indian figure sijui bado ntafaa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
......hahahaha......na yenyewe sio mbaya maana si unajua simba akikosa nyama hla hata majani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…